PreGE2025 Ushauri kwa Lissu kuhusu G-55

PreGE2025 Ushauri kwa Lissu kuhusu G-55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hao kenge 55 njaa imewavuruga ubongo. Watashindana lakini hawatamshinda Lissu
 
Watajifukuza wenyewe... Suala la kuwafukuza sio dili kubwa .... Kama kuna ambaye ni kiongozi atolewe hiyo inatosha kabisa!!. Lipumba sio sawa na Lissu zama za Lipumba CUF zilikuwa zimefika mwisho sawa na Mbowe.
 
Na mimi napenda kuunga mkono hoja ... wafukuzwe wote wasaliti tena kwa haraka ili kuondoa sumu isisambae na iwe fundisho kwa wengine ,hii njia CCM wanaitumia sana na inawapa faida na mafanikio kwa ustawi wa chama ..hata kama wasaliti wako 100000 wafukuzwe ..njia hii itasaidia kukijenga chama na kuwa na msimamo katika mapambano yao
 
Wafukuze G55 Mapema kabla hayajawa ya Lipumba kwa Maalim Seif kwa CUF.

Njia ya kuwafukuza wanachama.

Wafutwe kupitia matawi yao mmoja mmoja tena wiki hadi wiki. Njia hii itasaidia kulisambaratisha kundi hili
Vyenginevyo athari kubwa mbeleni.

Nimeamua kumsaidia Lissu ili kupinga siasa za ulaghai kwa vijana hasa wa upinzani kwani wakiachiwa wanawasababisha matatizo makubwa vijana wanaopenda siasa
wa kwanza awe mrema. na hii haitaleta madhara makubwa kwa Lisu kwa sababu Lisu ni mwenyekitu mpya, haitakuwepo ile kwamba mtu akitoka ataenda kutuanika huko nje, akianika atakuwa anamwanika DJ ambaye sio mwenyekiti tena, na LIsu atasema mimi ni mpya na ma,mbo mampya msinijumuishe.
 
Hapana, CCM sio wakususia uchaguzi, ndi watafurahi.
Lisu aingize timu, wabunge watakao patikana wakakiwashe bungeni, sauti zitasikika.

Wapambane ndani ya geti
Magufuri aliwaingiza wangapi?
Huku kufikiri kinyume nyume ni sawa na kula ugari kwa picha ya samaki.
Tatizo linaanzia kwenye kuwa mgombea hadi matokeo ya kura mdau!
 
Back
Top Bottom