Ukweli1
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 550
- 333
Nakubaliana na Nelson Richard kuhusu lara 1, kuna wakati nilikuwa namfuatilia sana nikampoteza kati nazani alibadili picha and I was so attached to the blonde lara 1, ni muandishi mwenye kujiamini sana, ingawa saa nyingine ni ngumu kumuelewa kama ni hesabu za A-level huyu sio BAM ni Advanced Mathematics.
Uandishi wake ni mzuri sana hasa kufikisha ujumbe kwa jamii ambayo inahitaji watu wanaongea lugha yao.
Uandishi wake ni mzuri sana hasa kufikisha ujumbe kwa jamii ambayo inahitaji watu wanaongea lugha yao.
Last edited by a moderator: