Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
I'm a big fan of lara 1 posts though I've never commented even once, but this is not the case, the case is, namsifu kwa mabandiko yake yanayowagusa wengi, na unajua kwanini yanawagusa wengi ni kwasababu her articles are true-based experiences. Hata ukiangalia movie zinazohit au nyimbo zinazohit zaidi duniani ni zile true life stories on top of this, the pinky girl has got her own taste of story telling, she's a writer so kwanini asicommercialize her hobby.
I'm sure she can turn her writings into money through the following paths:
- First of all, Lara 1, give yourself a title/categorize your posts.I'm sure is love & relationship topic
-Second, have a formal writing. Humu kuna bloggers ambao wanatamani kuembed post zako kwenye platrforms zao lkn kikwazo ni uandishi it's ungrammatical, and thus limits your audience
-Thrid, give your article series, hii itasaidia kwa baadae kuunganisha post zote and turn it into a book, huwezi kosa surpport ya publishing & distributing you're a woman damn it, I volunteer to do the Graphic design work for you, for FREE!
WHY ALL THESE she's got it all namba moja ni baada ya kuona amekubali kuanza kukosolewa kwenye post zake, this is the biggest secret for success in a business world, accepting criticism means you're willing to learn and you have interest in what you're doing.
Pili, kwa fan base aliyonayo Jamiiforum ni ticket tosha ya kupokelewa na bloggers & writers wa East Africa, hivyo kuwa enrolled kama mwandishi wa makala za mapenzi na mahusiano kwenye platform zao even if it's in part time basis. Mwisho wa siku tayari ni star, anaanza kuwa featured kwenye vipindi vya TV/Radio kutoa ufafanuzi katika nyanja nzima ya mahusiano.
Ni hayo tu.