nexus white
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 210
- 81
!
!
kuna mdada anaitwa Kija,anaboa mpaka basi. Karopokaji flani hivi
!
!
kuna mdada anaitwa Kija,anaboa mpaka basi. Karopokaji flani hivi
hata ile style yao ya watangazaji kubishana ktk majadiliano,wamei clone toka ktk kipindi chao cha radio cha power breakfast.yaani ni kupiga domo tu nonsensically.ujuaji wa kijinga.
dress code is very poor,mtu anavaa rangi ya nguo anayojisikia.kuna rangi zingine sio common kuvaliwa na tv anchors anapokuwa hewani.kiufupi jamaa wanamapungufu mengi mno,tukiyaweka yote hapa tutajaza server ya jf.
Kuna huyo Jamaa anaitwa Sasala(?)...Sikumbuki jina lake....hana haiba ya utangazaji kabisa...hata kusoma magazeti kama ana kimuemue...Yule demu ndio kabisaaaaaaa..Uelewa wa mambo 000....Hawajui kupangilia mada na jinsi ya kujadili...Niliwangalia Mara kadhaa sijarudia tenaaa
Unaangaliaje kipindi usichokipenda?
Usiwe mzito wa kufikiri, kwani unapotoa ushauri wa kitu unazuiliwa au inakuwaje