Ushauri kwa Jirani: Mbowe must be disposed!

Hii mijitu iliyotokea chadomo na kuhamia CCM ni bure tu.

Shule ilienda kusomea ujinga tu.

Mbona mlimpokea tena mwenyekiti wenu alimshika kiuno?
Mmemtunuku na ubunge ccm kijiwe cha wapuuzi
 

Nipo, nitarudi muda sio mrefu kuchambua matumaini ya mabadiliko hewa chini ya JPM. Nitakualika kwenye uzi husika ndani ya siku chache zijazo.
 
Mleta mada bila shaka huifahamu Tanzania kabisa. Tena hata husomi habari za nchi hii. Tangu lini CHADEMA ilikuwa chaguo au kimbilio la Watanzania hasa hao unaowaita wanyonge? Huna habari kuwa miaka yote wananchi wanaipenda na kuichagua CCM tena kwa "kishindo"? Ni lini CHADEMA ilikuwa na misingi ya maana ya kuwafurahisha Watanzania? Mbona Dr. Slaa unayemsifia aliishia kubezwa na kuhusishwa na kuleta udini; kwamba anatekeleza ajenda ya Vatican ya kujenga "mfumo Katoliki"? Leo hii, unaamini kuwa CHADEMA, Mbowe na Lowasa pamoja na "kushindwa" uchaguzi bado ni watu wa maana sana au tishio katika siasa za Tanzania kiasi cha kuhangaika kuwazungumzia? Are they still news worthy?

Ingekuwa bora sasa ukawasahau hao watu na kuanza kuchambua asili ya majipu yanayotumbuliwa kwa "kasi" na serikali ya leo - yametokea wapi? Halafu uhangaike sana na swali hilo. Kama jibu litakufikisha tena kwa "Mbowe, Lowasa, CHADEMA" basi hapo usisite kushusha nondo za uhakika na kumfikishia Magufuli ashughulike na hiyo mizizi badala ya kupoteza muda kwenye vitawi. Vinginevyo, ukiendelea kumbakiza huyo Mbowe kichwani na moyoni wakati "hana maana" tena kwenye jamii yetu anaweza kukutia wendawazimu bure - labda kama kuna kingine tusichokifahamu. Wanaokufahamu hapa JF wanasema bado ni kijana mdogo sana. You have a life. Hold on to it. Si vyema uanze kuokota makopo kwa sababu ya "wazee" walioisha choka na maisha kama Mbowe na kampani yake.
 
Ni upumba.vu Wa hali ya juu kujisifia kwa ccm kwa ushindi wakati mlishasema kuwa hamkabidhi nchi kwa kipande cha karatasi. Muanzisha mada ni ama punguani au ameugua ukichaa. Ushindi Wa jpm ni sawa sawa na ushindi Wa museveni au mugabe. Hayo uliyoandika yangekuwa na maana kama haki ingetendeka. Vinginevyo ni matapishi tu.
 





KUMBE NI KWELI UMETOA MIMBA YA JAMAAAAA NDIYO NINI SASA HIYO? UMEVURUGWA
 



NINI HII? UNATAKA NA WEWE?
 

Shame on you!

CCM Politicians are excellent at dignifying Politics at the expense of Economics. In their thick heads, economics is supposed to serve politics instead of the other way round. They survive by defying economics. Politics to them is supreme to even common sense and rationality. The Supremacy of CCM's politics is a definite liability to Tanzanians. Lets review one fact:

For the month of February 2016, Magufuli's Government targets to collect T.sh 1.5 Trillion as tax revenues. So far, about T.sh. 1 Trillion have already been collected. But the irony is, out of the T.sh One Trillion or so collected so far in February, 80% of the money (T.Sh 800 Billion), money that is meant to improve the welfare of tax payers via education, health, water supply and other basic amenities, that money (T.sh 800 billion) have gone to service the "National Debt". A staggering 80% of tax payers' money collected in February so far!

What's more painful is the fact that Tanzanians incurred this debt with almost nothing in return from the government under Chama Cha Mapinduzi (CCM).

That's REAL CHANGE.

To be continued...

CC mr gentleman
 


Wapiga dili leo huwajui?

Masia wenu lowassa.

mungu wenu Mbowe.

Wafadhili wenu kina rostam aziz kina karamagi kina Mohamed dewji.

Matapeli wote wa mjini wakatuubilia mabadiliko hahaha wenye akili tukastuka hadi wauza unga wanapigania mabadiliko!

Yani nyie watu nachowakubali ni ujasiri wenu na kukosa aibu. Sometimes mtu unaandika mambo aibu naona mimi jinsi mlivyopalalaiz kichwani.
 
Team 46 hii hoja kuna kitu nyuma yake ndiyo maaana mnaikomalia wakati malaya wenu Fyonza kaingia mitini.

Aliye ndani ya jeneza anaitwa marehemu. Je nyinyi mnaojificha nyuma ya hoja za kimalaya kama hizi mnaitwa akina nani?
 
Nipo, nitarudi muda sio mrefu kuchambua matumaini ya mabadiliko hewa chini ya JPM. Nitakualika kwenye uzi husika ndani ya siku chache zijazo.

Wewe unachambua wenzako wanafanya kweli. Nakuhurumia sababu hakuna mtu utamdanganya tena sasa hivi watu wanashuudia kwa macho Magufuli anavyobadili nchi hii sio tena mambo ya kufikirika watu wanaona kwa macho yao kila kitu. Sio rahisi tena kubadili nyeupe kuwa nyeusi watu sio vipofu wanaona.

Eti Sumaye Kingunge Lowassa Masha ndio symbol yenu ya mabadiliko, alafu bado mna ujasiri wa kuita anachofanya Magufuli ni feki.

Tupo tunaona hatuitaji mtu wa kutuonyesha lolote.
 
Naona una chuki binafsi tu, cdm imeshindwa/kushuka kwa lipi? Unatumia vigezo gani kupima ukuaji na uimara wa chama?
 
Shonza mwanawitu umeandika mada yako utafikira siomsomi utafikiria umetoka jana mbozi muulize zambi alivyopata shida kwenye jimbo lake hatamani kuisikia tena mbozi alikumfanya mama yake atembee uchi kwa jinsi wanaume cdm walivyopiga kazi ccm ikitaka kujua cdm imekufa muruhusu mikutano ya siasa muone nn kitakachofanyika ccm bila polisi na usalama wa taifa niwepisi kama unyoya wa kuku dogo janja jana anataka kukizindua tu kitabu mmemzuia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…