We need immediate Backup, our bird has been hijacked!Copy that, roger..
Hahahhh mamaeeSasa hapo unataka ushauri gani?
Story ipo nusu, hatujui ilo duka alimfungulia kwa makubaliano gani, umiliki ulionesha ni wa nani n.k
Nina jamaa yangu alipoachana na demu ( demu alienda kwa jamaa mwingine), mshkaji alichukua Kila kitu alichomnunuliaga, nakumbuka wakati tunaondoka eneo la tukio, jamaa alichukua hadi chupi zilizokuwa kwenye kamba. Namuuliza jamaa, sasa hizi chupi siungemuachia, wewe utazifanyia Nini? Jamaa anasema Sina uhakika but zitapata kazi mbele ya safari, akawa anafutia viatu.
Sasa huyu kamfungulia duka, alaf anakosa maamuzi?
Wajinga ndo waliwaoKuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
He is stupid matter of fact he seems to be faggot. If I was one of his brother. To be honest I would be in jail right now because of him. I mean this kind of stupidity are always arising my uncontrollable anger.Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
AiseeKuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari, Kalazwa hospitali saivi.
Umeutumia mwili wake pia alitumia muda wake kukustarehesha , demu hana kosa.Sasa shida nn, Ukiwekeza Kwa mwanamke Pesa au Mali.
Akakuacha na kwenda Kwa mwingine kama ilivyo Kwa huyo dogo
CHUKUA KILA KILICHO CHAKO
Msiwaonee huruma Wanawake nao ni makatili wakati Fulani ,wangekua Malaika ,wasingewatenda mabaya.!!.
Ushauri wangu ni akufee tuKuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari, Kalazwa hospitali saivi.