Dogo fala sana amevuna alichopanda ujinga ni mzigoDogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
Haya mauwaji tunayoshuhudia na kisikia yanachangiwa na mengi sanaKuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
Alipanda Mtumbwi wa Vibwengo.
š¤£š¤£š¤£š¤£Kuna Dogo Baada Ya Kumaliza Chuo. Kaka Zake Wanne Walichanga Kila Mmoja Milioni Tatu ,Wakampa Kama Mtaji.
Dogo Yeye Akaenda Kumfungulia Mchumba Wake Duka La Vipodozi Na Urembo. Mchumba wake Anaolewa Leo Na Mtu Mwingine.
Dogo Kaumwa Ghafla Baada Ya Kupata Habari ,Kalazwa hospitali saivi.
š¤£Hakika jiraniAvune alichopanda...
Dada umefurahia kweli kweliš¤£š¤£š¤£š¤£
Apo Kamfungulia Duka na Iphone makengeza matatu! Poor BoyšKawaida sana hiyo,ndio maana nawashauri sana vijana kwenda kufanya kazi ya biashara ya nyumbani ajenge uzoefu wa kurithi akili za maisha kwa wazazi.hapo mil 12 ilikuwa inamtosha ila ndio PAPUCHI.
š¤£Vijana wajinga sanaDada umefurahia kweli kweli
Hata mazee mazuzu yapo mengi tuš¤£Vijana wajinga sana
AiseeHata mazee mazuzu yapo mengi tu
Kuna story Long time ago! Morogoro: Kuna sister Du Mmoja alikuwa anakaa maeneo sio mbali na Forest Secondary School. Jamaa alimnunulia Gari aina ya Toyota mark 2. Huyu sister Du enzi hizo Moro mjini yote Wakware walikuwa wanamgombania kama mpira wa kona! Ikaja siku jamaa aliemwonga Gari akamfuma na jamaa mwingine, Jamaa akafanya fujo ya kila Rangi na Gari akaipasua pasua vioo vyote- Bi mdada akaenda Police Kadi ya Gari jina la MwanamkešJamaa akahamriwa na Police alitengeneze gari na awe mbali na Binti vinginevyo Atapelekwa Gerezani Kingolowira. Mwisho wa siku Mwanamke Alipwa na Bima Gari nyingine na ile ya Bwege akawa nazo 2! Sheria inakukataza ata kumsalimia. Jamaa akawa analia kidogokidogo bila kupiga kelele:: kama Duka lina jina la Mwanamke hapo jamaa awe mpole kwani Sheria aijui mtaji bi mdada aliupataje! Ila akunfanyia fujo kudai mali zake AtafungwaSasa shida nn, Ukiwekeza Kwa mwanamke Pesa au Mali.
Akakuacha na kwenda Kwa mwingine kama ilivyo Kwa huyo dogo
CHUKUA KILA KILICHO CHAKO
Msiwaonee huruma Wanawake nao ni makatili wakati Fulani ,wangekua Malaika ,wasingewatenda mabaya.!!.
Copy that, roger..Alpha 2! Man Down! Man Down! We request immediate Backup! Over!
Alpha 2 do you copy?