Ushauri kwa huyo dogo

Wamchangie fedha zingine.Bado mtoto.Wakimpa hizo fedha aende mbugani kutazama pundamilia.
 
Bado tunahitaji kusajiri vijana wengi kama hawa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseee, ni ukatili wa kutisha alioufanya jamaa yako.
 
Wala asijali yote maisha mbona mimi niliwahi fanya hivyoo jamaa akamuoa mzungu ila waleo Mungu anitupi mie mwana wake
 
Just a simple mathematics mimi navaa roho ambayo yeye mwenyewe atajutia maisha yake yote kwa nini alijuana na mimi

Unitese kihisia na bado kimawazo bado kiuchumi
 
Kawaida sana hiyo,ndio maana nawashauri sana vijana kwenda kufanya kazi ya biashara ya nyumbani ajenge uzoefu wa kurithi akili za maisha kwa wazazi.hapo mil 12 ilikuwa inamtosha ila ndio PAPUCHI.
 
Sometimes uchaw tunajifunzia kwao[emoji1787][emoji1787]
 
Upumbavu kiwango cha SGR. Upewe mtaji kisha umpe demu? Dah
 
Sasa shida nn, Ukiwekeza Kwa mwanamke Pesa au Mali.

Akakuacha na kwenda Kwa mwingine kama ilivyo Kwa huyo dogo

CHUKUA KILA KILICHO CHAKO



Msiwaonee huruma Wanawake nao ni makatili wakati Fulani ,wangekua Malaika ,wasingewatenda mabaya.!!.
Mwanamke huyo awe mke au mama mzazi, na sio demu.
 

Usiwe rafiki na mtu mjinga hivyo ndo ushauri wangu kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…