Ushauri kwa huyo dogo

Nchi hii ina vijana wa hovyo sana!!
 
Si afe tuuu anangoja nini uyo falaa?
 
Kalazwa hosptal gani tukampe pole?😂😂 kama document za duka zilikua kwa jina la huyo mchumba wake na hakukua na makubaliano yoyote ya maandishi ashaliwa kichwa.
 
Sasa hapo unataka ushauri gani?

Story ipo nusu, hatujui ilo duka alimfungulia kwa makubaliano gani, umiliki ulionesha ni wa nani n.k

Nina jamaa yangu alipoachana na demu ( demu alienda kwa jamaa mwingine), mshkaji alichukua Kila kitu alichomnunuliaga, nakumbuka wakati tunaondoka eneo la tukio, jamaa alichukua hadi chupi zilizokuwa kwenye kamba. Namuuliza jamaa, sasa hizi chupi siungemuachia, wewe utazifanyia Nini? Jamaa anasema Sina uhakika but zitapata kazi mbele ya safari, akawa anafutia viatu.

Sasa huyu kamfungulia duka, alaf anakosa maamuzi?
 
Dogo kila kitu kimeandikwa jina la Bi dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…