Malaya wa kisiasa ni kansa hashauriwi! Shauri yako.Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Achana na malaya nchi ina watu mil 64 mnakosa watu potential mnakalia kuwalilia watu malaya design ya Mdee,bulaya,Hanje,Kaboyoka,Mwaifunga,Matiko,na wasenge kadhaa!! Nayemhurumia hapo ni Mama yangu Lwamlaza huwa namheshimu lkn naye akienda basi tena nae namuweka kwenye jalala natuliaNimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Mleta mada sijamuelewa. Halima mdee na kundi lake walishafukuzwa na kunyanganywa uanachama wa chadema. Sasa avumilie miaka mitano kwa chama kipi? Au Chadema bado wanamuhitaji?Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Kama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali na CHADEMA itarudi kwa kasi ya kutisha. Niamini come 2030 CHADEMA inaweza kuwa Chama Dola.
Mhe. Mdee wewe vumilia achana na kuhama CHADEMA Oktoba 2030 wewe ndo utakuwa Mhe. Waziri wa Sheria na Katiba.
Ni mbali sana kwa mwanasiasaKama CHADEMA hakitaingia kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi nakushauri Mhe. wewe vumilia na miaka mitano siyo mbali
Kwani wale wengine watashinda?Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Akwende anakojua CHADEMA ni taasisi imaraAvumilie kwenye chama gani wakati mlishamfukuza? Kwani Halima na wenzie wamerudishwa lini chadema? Avumilie akiwa ana-hang hang hewani?
Nyie namna gani, acheni hizo.
Hizo hela zote amekuwa akilipwa miaka yote alikuwa anapeleka wap?Shida iko sehemu moja tu! Ataweza kuvumilia njaa, na hasa pale itakapo panda kichwani? Kumbuka njaa haina baunsa.
Nimeshuhudia wimbi la Wabunge wenzako waliotoka CHADEMA wakihamia Vyama vingine. Mimi nakushauri narudia tena nakushauri usije ukachukua uamuzi wa kuhamia Chama kingine. Wewe umetoka mbali na CHADEMA tangu kuanzishwa kwa Chama hicho. Umekulia humo, umekijenga Chama hicho mpaka kikafikia hatua ya kuwa Chama Kikuu cha upinzani. CHADEMA sasa hivi ni Chama tishio na kina wanachama wapatao millioni 16 na kinapendwa na wananchi.
Hamna mwanasiasa alieniuma kama yule dogo wa arumeru joshua nassari. Dogo alikuwa ana potential kubwa sana kuja kuwa giant wa siasa za Tanzania... sema ndio hivyo tamaa za vyeo zikamuingia leo hii hata hajulikani yupo wapi!Hama hama ya vyama inapotezaga watu makini sana kwenye uwanja wa siasa kama wakina matiko na Bulaya Wakikosa Ubunge jua ndo bye bye kwenye siasa za Tanzania labda wakumbukwe kwenye UDC na RC basi ila kisiasa ndo wameenda kujimaliza bora wangetulia miaka mitano ipite Mbona Masele wa shinyanga alivumilia now karudi kwenye Game