Ushauri kwa form 6 leaver

Ushauri kwa form 6 leaver

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Habari
Mimi mwenyewe nikiwa mmoja wao,
knowledge ya computer ni muhimu sana hivyo kwa wenye uzoefu ni kozi gani muhimu tupige dis time tunasubiri matokeo ya vyuoni ambazo zitatusaidia baadae au hata zinaweza kutufanya tupate ajira(Tempo) mbali na introduction to computer.

Natanguliza shukrani.
 
Soma kozi inayohusika na unachotaka kusoma au kinacho kuinterest. Kama unataka kuwa Accountant, soma ya accounting software Tally etc. Kama unataka kuwa programmer soma ya programming, kama designer tafuta ya graphics design.
 
Habari
Mimi mwenyewe nikiwa mmoja wao,
knowledge ya computer ni muhimu sana hivyo kwa wenye uzoefu ni kozi gani muhimu tupige dis time tunasubiri matokeo ya vyuoni ambazo zitatusaidia baadae au hata zinaweza kutufanya tupate ajira(Tempo) mbali na introduction to computer.

Natanguliza shukrani.

Hongereni vijana kw akumaliza, umewapa ushauri mzuri sana..
 
Back
Top Bottom