lakn Aliyepata 98% written Practical cjui kamapta nn any way mm ni mwajiriwa suguKimsingi Tanzania Imekua ina wasomi wa kila aina usitegemee utaitwa interview mkiwa watatu au 10 Never.
Hebu mjitahidi kufanya maandalizi kama kweli unatafuta Ajira inashangaza wote wahitimu mwenzako kapata written 98% wewe unapata 0%, 5% , 10% au 9% inaonesha ni jinsi gani Ulivyo mweupe Kichwani Kuhusu kile Ulichokisomea.
Nimeshangaa Watu wanaanza Ku wapakazia Utumishi hasa kwa waliopiga Written Juzi hakuna Cha Undugu pale Utumishi wewe faulu tuu utapata kazi acheni Imani potofu watu wanaangia wakiwa shallow mno.
Yaani Graduates mi nilishangaa Kijana Mmoja alivyoona ile panel ya Oral tuu akadondoka Chini kwanini Mnakua Nervous kiasi hicho, Jaribu Ku control emotions zako za Kukosa kazi pia Jitahidi ujiamini ,Confidence yako iwe silaha hapa nagundua zile presentation za Chuo huwa zina Msaada Vyuo Vingine havifanyi hizi.
Wakuu hebu jitahidini Kuvijua Vitu Muhimu katika Course yako pia Tumia Vitu kama YouTube kila Topic ukiipata ipo mle watakufundisha tuu Kazi hazitolewi Bure Utumishi.
Alikula 20 percentlakn Aliyepata 98% written Practical cjui kamapta nn any way mm ni mwajiriwa sugu
[emoji16][emoji16]mm naomba nielimishwe mfano mitihan ya writen wanapiga interview watu zaidi ya buku na jion matokeo yanatoka wanatumia system gan ku mark???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mim nasubil jibu hapomm naomba nielimishwe mfano mitihan ya writen wanapiga interview watu zaidi ya buku na jion matokeo yanatoka wanatumia system gan ku mark???
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah umeongea ukweli mtupu mkuu. Mm niliwahiombwa na recruitment agency fulani kuwasaidia usaili hawa wa wahasibu kwani hyo fani yangu. Jmn niliumia moyo. Watu kujieleza ni shida. Sawa kiingereza hatuko perfect kiviile ila hata tense tu shida!! Mbaya zaidi hyo nafasi iliyokua inagombewa kulikua na mdada anajitolea anafanya yaleyale wiyotangaza yaani job description lkn bidada alishindwa kujieleza imagine.halafu huku viongozi wanakimbiza shirikisho la afrika mashariki. Kazi ipoKimsingi Tanzania Imekua ina wasomi wa kila aina usitegemee utaitwa interview mkiwa watatu au 10 Never.
Hebu mjitahidi kufanya maandalizi kama kweli unatafuta Ajira inashangaza wote wahitimu mwenzako kapata written 98% wewe unapata 0%, 5% , 10% au 9% inaonesha ni jinsi gani Ulivyo mweupe Kichwani Kuhusu kile Ulichokisomea.
Nimeshangaa Watu wanaanza Ku wapakazia Utumishi hasa kwa waliopiga Written Juzi hakuna Cha Undugu pale Utumishi wewe faulu tuu utapata kazi acheni Imani potofu watu wanaangia wakiwa shallow mno.
Yaani Graduates mi nilishangaa Kijana Mmoja alivyoona ile panel ya Oral tuu akadondoka Chini kwanini Mnakua Nervous kiasi hicho, Jaribu Ku control emotions zako za Kukosa kazi pia Jitahidi ujiamini ,Confidence yako iwe silaha hapa nagundua zile presentation za Chuo huwa zina Msaada Vyuo Vingine havifanyi hizi.
Wakuu hebu jitahidini Kuvijua Vitu Muhimu katika Course yako pia Tumia Vitu kama YouTube kila Topic ukiipata ipo mle watakufundisha tuu Kazi hazitolewi Bure Utumishi.
true fact haiwezekan update 5 halaf nadongo uwatupie utumish kwan we nan mpk wakufanyie ivo??lakn Aliyepata 98% written Practical cjui kamapta nn any way mm ni mwajiriwa sugu
Kwani Rushwa sikuhizi imekwishwa? Utapata kazi ila mpaka nafasi za watu wao wanaojuana zikijaa... kama bado hazijajaa hata ukijibu maswali yote na yanyongeza kazi sahau..Kimsingi Tanzania Imekua ina wasomi wa kila aina usitegemee utaitwa interview mkiwa watatu au 10 Never.