Mkuu siasa nyepesi na zinazofanywa na wanasiasa uchwara hasa wa awamu hii zimeua kabisa uwezo wa watanzania wengi kufikiria hivyo hawawezi ona hiki ulichoandika hapa wala kujua dhamani yake. Kiukweli Tanzania awamu hii imepata, si viongozi, si wananchi wote bahati mbaya, yaani mpaka nabubujikwa na machozi