Kura aliomba mwenyewe kwani ruzuku nyingi ilitumika kaskazini
Hata ukinawa,mjini huendiHuu ni ushauri murua kabisa kwa wabunge wote wa Chadema wanaoona mbali.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
Hajawahi kuwa na akiliKwetu wapi??....unaona usivyo kuwa na akili???
Kama mawazo ya kuona mbali ni 2020, bado watakua hawaoni mbali! Mwaka huo siyo mwisho wa Tanzania, Tanzania itaendelea kuwepo wakiwa wameoza makaburini! Ona mbali, Paskali!
Umetumwa ..
Kiuhalisia mmeshaanza kumpa vitisho
Sikutaka ku comment uzi huu !!, lakini nilipoona nawe unapotosha umma nikashangaa !!.
Hivi kweli Pascal, wabunge woote wawe CCM ndiyo tutapata maendeleo yalishindikana kwa miaka 60 ?!. Walioiharibu Tz yetu ni nani kama siyo hawa hawa CCM ?! Kweli Pascal nawe unaamini kuua upinzani kwa gharama za dola ndiyo malengo ya taifa!!!
WaTz ni waswahili na wanafki !! Yaani wote wakawe wapiga meza na kusema ndiyoooooo!! Mungu anawaona, acheni turudi kwenye u communist. Lakini tutaendelea kurudi nyuma ki maendeleo, kama ilivyokuwa huko awali .
Kwenye siasa za Tanzania, tuna makundi matatu ya watu, the dreamers, the wishful thinkers, and the realists.
Dreamers wao wanaota tuu. Wishful thinkers wao wana wish, na realists wao wanausema ukweli uliopo, hivyo ukweli wa siasa za Tanzania kuelekea uchaguzi wa 2020 ni huu
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
Kwetu wapi??....unaona usivyo kuwa na akili???
Sina uhakika sana mkuu lakini niliwahi kusikia kuwa yupo Marekani hukoHivi yuko wapi huyu jamaa!!
Mtaendelea kuwarubuni hao hao lakini sio kwa Ester Matiko, anajitambua.Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
mafisiem waligeza rangi..Yanga toka 1935 brotherNaipenda Yanga na jezi yake ila hawa njugumawe wa Lumumba nawaona kama toothpick. Eti chama makini.
Atamaje peke yake? Mshauri ahame na mumewe Salum Mwalim maana wamefyatua nae watoto wawili.Future iko CCM kwingine ni upuuzi tu.
Ni mpuuzi pekee atakaefurahia upinzani kumalizwa......Ili tusonge mbele lazima kuwe na watu wa kutukumbusha na kufungwa gavana pia.Mh. Ester Matiko. Napenda kukupokeza kwa Kazi nzuri unazozifanya jimboni. Wewe ni Mbunge makini lakini hauko kwenye chama makini. Nakushauri hamia CCM ambacho ni chama makini ili uweze kufanya vizuri Kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wako. Fuata nyayo za Mbunge wetu wa Serengeti Marwa Ryoba. Ni matumaini yangu utanisikiliza.
Wamedanganywa ikifika 2020 watapigwa chini wote maana hawana mikia wameenda kupata neema ya muda mfupi lakini 2020 wote ambao hawana mikia ccm itawapiga chini.Huu ni ushauri murua kabisa kwa wabunge wote wa Chadema wanaoona mbali.
Trend Reading: Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je tunarejea nchi ya Chama kimoja? - JamiiForums
P.
Mkuu siasa nyepesi na zinazofanywa na wanasiasa uchwara hasa wa awamu hii zimeua kabisa uwezo wa watanzania wengi kufikiria hivyo hawawezi ona hiki ulichoandika hapa wala kujua dhamani yake. Kiukweli Tanzania awamu hii imepatwa, si viongozi, si wananchi wote bahati mbaya, yaani mpaka nabubujikwa na machoziMsiwapotoshe watoto wetu maana mpaka sasa watoto wadogo mashuleni wanaamini kuwa mpinzani ni kosa kumbe ni utaratibu rasmi wa kuwa watu wenye mawazo mbadala na ndio maana bungeni kuna mawaziri vivuli na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani ambaye anagharamiwa na serikali. Hapo tu inaonyesha upinzani ni kitu ambacho kinakubaliwa kwani hata kama utakuwa hujashika uongozi lakini bado unaweza ukawa na mawazo mbadala ambayo yanamsaidia yule anaetawala kuweka mambo sawa.
Hata huyo mbunge unaemwona makini bado ana fursa ya kuijenga nchi akiwa huko huko alipo
Yahani wewe ni tabula lasa kabisa, linear thinking.....Chademu
Kweli kabisa!
Wewe uliona wapi eti kwenye sera cha chama wanaweka picha ya mwenyekiti wao kjonesha kwamba huyo ni wa kudumu