Sure, ili asalimike hana budi kuweza a,b,c za utekaji wake full detailed. Awataje kwa majina watu wa TISS waliohusika. Akiendelea kukaa kimya kuzimu inamwita, maana akina rama watamuwinda wamuangamize kuhofia kutajwa. Pili lazima atoe tamko la kutomtambua mkenya wa gwajima. Silence is the best enermy.
dr ulimboka=mwakyembe
....Mpeni muda, atakapokuwa tayari basi atasema kila kitu kilichojiri na sidhani kama ataacha chochote alichofanyiwa na hii Serikali dhalimu.
Serikali dhalimu ama CHADEMA wauaji wasaka madaraka hata kwa damu za watu?
Ni kweli kabisa akina zomba, ritz na zemacopolo watamuangamiza muda si mrefu. Bora amwage hadharani kila kitu.Sure, ili asalimike hana budi kuweza a,b,c za utekaji wake full detailed. Awataje kwa majina watu wa TISS waliohusika. Akiendelea kukaa kimya kuzimu inamwita, maana akina rama watamuwinda wamuangamize kuhofia kutajwa. Pili lazima atoe tamko la kutomtambua mkenya wa gwajima. Silence is the best enermy.