Ushauri kwa chama changu cha CCM

Ushauri kwa chama changu cha CCM

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
1,289
Reaction score
2,190
Naomba kukishauri Chama changu cha CCM kuwa tuheshimu maoni ya Wajumbe wa CCM waliowapigia watia nia kura.

Kama kweli mtia nia ameibuka kidedea na vigezo anavyo basi huyo ndiye ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM. Tusiwe na upendeleo kuwapendelea watoto wa wakubwa hata kama ameshika nambari 2 na kurudi chini.

Tutumie haki na kusiwe na upendleo.
 
CCM ya sasa ni kundi tu la watu wachache wenye nguvu ya fedha na ushawishi. Hao watu wachache wakiamua, wameamua! Na hakuna wa kuwapinga.
 
CCM gani wakati ilishakufa tangia 2015 hapo ni kina muliro tu na wambura ndio ana wabeba.
 
Back
Top Bottom