Mtu wa Majira na Nyakati
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 980
- 2,870
Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia .
Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu .
Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu.
Nini mnabidi kufanya ?
Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na ari ya kupambana dhidi ya Ccm .
Kwa viongozi mlionao sasa kuanzia Bavicha mpaka Bazecha wote hawana mbinu mbadala za kupambana na Ccm.
Wekezezi kusambaza Falsafa , utikadi kwa vijana wadogo kuanzia 18 yrs.
Hii ndo mbinu bora ila msitegemee kuitoa Ccm madarakani kwa siasa zenu za kuvamia ajenda.
Mfano mwaka 2005 , mwaka 2025 unaona hizi ni Chadema mbili tofauti.
Pia Lissu asaidiwe sana namuona ametawalaiwa na mihamko mingi.
Msisahau kupambana na Ccm unakuwa unapambana na Dola. Akili mpya zenye uthubutu ndo zitawasaidia .
Ona Leo mlivyokosa Focus watu walewale waliowahujumu na kuwanyima partial democracy ndo mnawafanya Kama mabingwa wa mchezo n.k