kuelekea 2030

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania 2030 Bado Mbali: Acheni Mbwembwe, Watumikieni Wananchi

    Viongozi, kumbukeni kwamba mwaka 2030 bado uko mbali. Kazi yenu kwa sasa ni kuwatumikia wananchi kwa uadilifu na kutekeleza wajibu wenu kwa matokeo yanayoonekana. Mkianza mbwembwe za kisiasa mapema na kujenga taswira ya kutafuta umaarufu binafsi, mnaweza kujikuta mkirudia makosa yaliyowahi...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Antony Mtaka ni presidential material? Maoni yangu kuelekea 2030

    Mmoja wa viongozi wanaonivutia zaidi ni Antony Mtaka anaonekana kuwa karibu na wananchi na mwenye msisitizo wa utekelezaji wa majukumu kuliko maneno mengi huyu ana uwezo wa kuwasiliana na wananchi wa kawaida. Tanzania inahitaji viongozi wenye uwezo wa kusikiliza, kusimamia utekelezaji wa...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Makonda anamlenga nani kuelekea 2030?

    Nadhani wote mmemsikia Paul Makonda kuhusu mpambano wa kuelekea 2030 kwenye kiti cha Urais kupitia ccm. Makonda kwa madongo ya leo atakuwa anamlenga nani haswa? Ila cha kusikitisha leo ni takribani miezi mitano tangu waingir madarakani ila vita ya Urais 2030 ni kama ishashika moto. Hawa jamaa...
  4. Rijali jandoni

    JamiiForums Tanzania 2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  5. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Chadema kuelekea 2030

    Hongera Sana CHADEMA na pia poleni Sana na changamoto mnazopitia . Mimi kama mwananchi, nimeona niwape ushauri ambao unaweza kuwapeleka nchi ya ahadi ikulu . Kwa hapa mlipofika mmekwama kisiasa ,mnabidi kukubali ukweli huu. Nini mnabidi kufanya ? Tengenezeni kizazi kipya ambacho kitakuwa na...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uteuzi wa wagombea umekuza au umekanyaga demokrasia ndani ya CCM?

    Kufuatia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kutoa orodha ya watia nia waliopita kuwa nia Ubunge hatua ya awali katika Majimbo mbalimbali Tanzania Bara na Zanzibar, kumekuwa na sura tofauti za maoni kuhusu demokrasia ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, huku pia...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi hotuba za Rais wetu, CHADEMA ni vyema mjiandae kimkakati kuelekea 2030, uchaguzi wa mwaka huu ni wazi hata kwa 0% hautakuwa wa huru na haki.

    Nawasikitikia sana wale wanaosema watapambana wakiwa uwanjani, kiukweli mtachakazwa na kila aina ya rafu hadi mtakimbia kabla hata ya dakika 90. Wale walioahidiwa ubunge wa bure sahauni, simuoni mwana ccm yeyote wa kukubali kuachia jimbo kizembe eti kisa wewe mpinzani. Chadema mwaka huu...
  8. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha Siasa Kuongoza Chama na Serikali: Hatari na Mabadiliko Yanayohitajika kuelekea 2030

    Katika mazingira ya kisiasa ya sasa, ni muhimu kutambua kwamba chama cha siasa kinapokuwa na nguvu kubwa katika kuendesha serikali, kuna hatari kubwa inayoweza kutokea. Muundo wa chama na muundo wa serikali unapaswa kuwa tofauti ili kuhakikisha kwamba kila moja inafanya kazi kwa ufanisi bila...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai: Mbowe utabakia kuwa Jenerali na kiongozi wangu siku zote, Nitakuwa tayari siku yoyote kupokea majukumu kutoka kwako hata nje ya siasa

    Wakuu ujumbe wa Boni kwa boss wake wa zamani == Freeman Aikaeli Mbowe Kwangu umekuwa siyo tu kiongozi wangu wa chama bali ni mwalimu, mwanafalsafa,mkufunzi,mzazi,mlezi na rafiki wa kweli. Wewe ni mfano wa kuigwaNashukuru kwa kuniamini na kunipa jukumu la kuwa Mwenyekiti wa kampeni zako katika...
  10. World light

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kijana toka Kanda ya Ziwa anaandaliwa baada ya Mihula ya Rais Samia kuisha

    Wanasema ili kupunguza uhasama ndani ya chama apatikane kijana mwenye rekodi safi hasa ya kukataa rushwa au ufisadi kutoka Kanda ya ziwa Magharibi lakini Kwa sharti la kutokuwa ngosha. Kwakutambua nguvu ya Kanda ya ziwa na Magharibi wanapendelea atoke mikoa ya Kigoma, Mwanza, Mara, Geita...
Back
Top Bottom