Ushauri kwa CCM-yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa CCM-yangu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by raffiki, Jun 5, 2011.

 1. r

  raffiki Senior Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni mwanachama wa CCM lakini kusema kweli...chama chetu kinaelekea kusiko....naomba nieleweke vizuri....chama chetu kinaitaji sura mpya..tena zenye uwezo..uwezo ninaousema mie sio uwezo wa kuongea au au kushambuliana majukwaani ninachomanisha ni uwezo wa kiutendaji kazi,kujenga hoja na hasa taaluma mbalimbali ili kuendesha chama kimipango zaida na hasa tutumie vijana wenye sifa hizo...na mchanganyiko wa wazee..ambao hawajachafuka...hasa wakati huu mgumu chama kinachopitia.

  Mfano...ndio ukweli kuhusu chadema...chadema..wamefika hapo walipobila fedha..lakini walichoweza kujipanga ni upande wa skills zaidi-mfano ni hawa..

  1- Katibu Dr. slaa mtu wa dini na anajua sheria vizuri
  2- Tundu lisu...mwana sheria mzuri
  3-kabwe ni mchumi mzuri
  4- Myika sijui wasifu wake vizuri lkn ukimsikiliza anajenga hoja utakubali kuwa kijana huyu yupo determined..ana uwezo wa kujenga oja kwa kweli
  5-Mdee mwanasheria na mwanamke anayejua wapi aanze na wapi asianze...
  6-Marando mwanasheria tena anayesimamia kesi nyingi zinazohusisha serikali

  sasa jaribu kuona kwetu ccm anaweza kushindana na kundi hiuli hapo juu...sisemi ccm hawapo watu kama hawa..wapo wengi sana ila walioonekana katikA JAMII AU WANAOTAMBULIKA NA JAMII SAHIVI WAMESHA CHAFUKA NI NGUMU KUSIKILIZWA NA KUSAFISAFISHA CHAMA....MAFANO WA HAWA NI

  1-SITTA AMESHAHUSISHWA NA ccj NA cda
  2-MWAKYEMBE..CCJ TENA NA MALUMBANO NA VIONGOZI WENGI WA CHAM
  3-NAPE HUYU NADHANI ANAITAJI KUSAIDIWA JAPO ANAJITAHIDI KINACHOSHANGAZA SASA UWEZO WAKE WA KUJENGA HOJA UNAPOTEA BADALA YAKE ANAFANYA MALUMBANO ZAIDI.
  4-JANUARY HUYU KWA NIMUONAVYOMIE HANA UWEZO BINAFUSI WA KUJENGA HOJA ANATEGEMEA ZAIDI KUBEBWA NA WATU NYUMA SASA SIDHANI KAMA ANAFAA KUNINUSURU CHAMA...SKILLS KATIKA UTENDAJI NI NDOGO ZAID ANATAFUTA CHEAP POPULARITY

  HIVYO BASI KUJIBU HOJA ZA CHADEMA KWA KUFATA WAFAYAVYO CHADEMA MIE SIDHANI KAMA NI SULUHISHO....CHA MSINGI NI UCHAGUZI WA CCM MWAKA 2002 TUJIPANGE UPYA TENA SANA....NA KUONDOA WOTE WENYE -VE ATTITUDE KWENYE JAMII NA WALE WENYE WALIOLITUMIKIA TAIFA KWA NGAZI ZA JUU TOKA ENZI YA MWALIMU NYERERE WATU PIA WANACHOKA KUSIKIA MAJINA HAYO HAYO.

  NI WAZO TU MWENYE KUONA MBALI ATAKUBALIANA NA MIE.

  KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI..KITAENDELEA KUDUMU NA CHADEMA WATAKUJA NA UHAKIKA UONGOPZI UKIJIPANGA VIZURI CHADEMA WATAPATA WANACHOKITAKA.
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Nenda Lumumba ukawaambie
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mwenyekiti je mnaye? Kwa mawazo yako unamuona anafaa? Je hujafahamu kwamba tatizo kubwa la ccm ni ombwe la uongozi hasa kwa upande wa mwenyekiti?
   
Loading...