Ushauri kwa Bongo FM

Ushauri kwa Bongo FM

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
5,678
Reaction score
7,325
Sio kila mtu anaweza kusoma taarifa ya habari.Leo msomaji wa news hq saa 12 asubuhi kasoma vibaya sana,matamshi mabaya sana,kashindwa kutumia nukta,comma na anahema na kumeza mate kwa sauti.

Na hivi ndio huwa kila siku. Lakini hii idhaa mmewatengenezea vijana,sioni sababu ya kutangaza news hq,vijana hawana mpango na news,au vinginevyo badilisheni format ya kutangaza hiyo taarifa ya habari.Mimi huwa napenda kusikiliza kipindi chenu cha michezo tu ndio maana huwa najiandaa nisikikose ndipo naanza na hiyo news HQ
 
Sio kila mtu anaweza kusoma taarifa ya habari.Leo msomaji wa news hq saa 12 asubuhi kasoma vibaya sana,matamshi mabaya sana,kashindwa kutumia nukta,comma na anahema na kumeza mate kwa sauti.Na hivi ndio huwa kila siku.Lakini hii idhaa mmewatengenezea vijana,sioni sababu ya kutangaza news hq,vijana hawana mpango na news,au vinginevyo badilisheni format ya kutangaza hiyo taarifa ya habari.Mimi huwa napenda kusikiliza kipindi chenu cha michezo tu ndio maana huwa najiandaa nisikikose ndipo naanza na hiyo news hq
Bongo FM majina ya vipindi vyao warekebishe.

Jina la Kipindi BAO LA ASUHUBI

Segment zake:-
-KILAINISHI CHA BAO LA ASUHUHI
-BAO TATU ZA ASUBUHI.

TCRA wawaambie wabadili jina la kipindi na segments zake zinaleta ukakasi.

Cc😡TCRA
 
Wamekutoa kwenye mood master mwenyewe ulitaka usimuliwe goli ya mpanzu uliyoiona Jana
 
Back
Top Bottom