Ushauri kwa Baraza La Maaskofu TEC

Unaujuaje uislamu bila kuusoma?
Unajua kama kuna utofauti kati ya kusoma kitu kukielewa na kukiishi
Uislam sio kuusoma tu kwanza uusome halaf uuelewe na mwisho kabisa uuishi
Yaani utasoma kama pombe kharam ushajua kama kharam pili usinywe pombe halaf mwisho ujue kuwaambia na wengine kua pombe kharam nk
Kusoma sio kuelewa na kuelewa sio kuuishi uislam
Wewe inaweza ikawa umeusoma uislam sijakataa ila nna uhakika hukuuelewa nakama umeuelewa nambie uliuelewaje uislam kwa ulipo usoma wewe
Mpaka hapa umenielewa
 
Mwaka mpya maybe watatoa neno!!
 
Binafsi mwanangu akiwa shoga huyo ni marehemu kwanjia yoyote.
FUTA kauli,

Ni muhimu kuwaombea watoto wako,

USHOGA ni Roho inayopandikizwa kuanzia mashuleni Kwa watoto, ukimuua mwanao haitasaidia.

PAMBANA kuangamiza Roho ya USHOGA ndani ya shoga, na ukifanikiwa, ataacha UOVU huo na kurudi katika mstari.
 
Aisee ni hatari...umekielewa ulichokiandika? Huwezi kuujua uislamu bila kuusoma wewe dogo
 
Aisee ni hatari...umekielewa ulichokiandika? Huwezi kuujua uislamu bila kuusoma wewe dogo
Wewe ndio hujanielewa
Naunaweza ukauelewa uislam baada ya kuusoma ila usiufate ama usiuishi
Pengine uliusoma uislam ila hukuuelewa
Ndio maana nikakuuliza uliusoma uislam mpaka level gani?
Sio tunabishana wakat uliishia alif halaf useme uliusoma uislam
 
FUTA kauli,

Ni muhimu kuwaombea watoto wako,

USHOGA ni Roho inayopandikizwa kuanzia mashuleni Kwa watoto, ukimuua mwanao haitasaidia.

PAMBANA kuangamiza Roho ya USHOGA ndani ya shoga, na ukifanikiwa, ataacha UOVU huo na kurudi katika mstari.
Sodoma ilichomwa, kwanini isingeombewa?
 
Sodoma ilichomwa, kwanini isingeombewa?
Na Dunia itaangamizwa Kweli sababu ya UOVU,

Kinachokwenda Kutokea mbeleni, ukipinga USHOGA unafungwa JELA au kuuwawa, marekani hata kuwasema mashoga au kuhubiri hadharani au kulitaja Jina la YESU ni kosa.

Tunatakiwa Kupambana na kuungana, sababu hao waovu wamejipanga kuhakikisha ushetani unatawala duniani.
 
hamna k2 kama icho,ni kujiendekeza tu!!!,,,vi2 vigumu 2nasimsingizia sheatani na roho!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…