Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,008
- 37,417
Safi kijanawewe acha kutetea ushoga uliohalalishwa na papa mimi mwenyewe nimeshahama ukatoliki kabisa!!!,,,,,,papa kasema wazi"makasisi wanaruhusiwa kubariki ndoa za jinsia moja".......................okoa ROHO yako wewe jamaa,,,ukifa ukatoliki haukupeleki mbinguni mazee!!
Uislamu umekamilika waislam hatujakamilikaKwa tabia mnazotuonyesha humu ndani za kutukana watu na kushabikia mauaji kwa jina la mungu wenu hiyo dini yako hatuitaki ni bora ya ushoga
Mnaletewa ugaidi wa imani mnatakiwa muamke
Kwenye uislam hakuna huu upuuzi karibuni sana hamjachelewa
Hao magaidiAl-Qaeda? Al-Shabab?? IS?
Hapana kwangu ukristo ni imani sahihi mno,ila shida kwa wakristo ni moja kutoyafuata maandiko yanavyosema tu na kuyashikaKabisaaaa
Uislam upo wazi kabisa mzinifu apigwe mawe ama bakora
Yaani uislam hauna ujanja ujanja kama sio Muislam ndugu yangu karibu sana na wakati ndio hui wasasa
Yaani dunia imeisha haribika hii dini pekee mpaka sasa ilipo kwenye mkondo sahihi ni uislam
Waislam hawajakamilika ila uislam uliishakamilika zamani sana
Tunawaomba musiokua waislam muifate nuru hakuna nuru kubwa ambayo mwanaadam anapaswa kua nayo kama kua Muislam
Alokwambia uislam una matatizo kakudanganyaRadicals wako kila mahali, huko kwenye uislam upo sana tu.
Kila dini ina matataizo yake na kila mtu a deal na mambo yake
Naheshimu mawazo yako mkuuHapana kwangu ukristo ni imani sahihi mno,ila shida kwa wakristo ni moja kutoyafuata maandiko yanavyosema tu na kuyashika
Hata mjitetee vipi. Dhehebu lenu limechoka.Mababa,
Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!
Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.
Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.
Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.
Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.
Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
Sijaridhishwa na ufafanuzi uliotolewa na Askofu Ruwaichi.Mababa,
Huu ni ushauri mdogo kwenu maana naamini mmejaa hekima na elimu ya kutosha kufahamu kinachoendelea. Ombi langu kwenu ni moja tu!
Msitoke kutetea hiyo document iliyotolewa na Vatican bali simamieni mafundisho ya Kanisa tuliyopokea ama kwa maandishi au kwa mapokeo kama anavyosema mtume Paulo.
Ni vizuri kuongea kuliko kukaa kimya huku waamini wakiwa kwenye mtanziko wa yanayoendelea kwenye vyombo vya habari na mitandao.
Kwa waamini wenzangu, kama huwezi kuipata na kuisoma mwenyewe hiyo document usitoe maoni yoyote kwa kupitia taarifa pekee za vyombo vya habari.
Hatari zaidi ni kuwasikiliza watu ambao hawalijui Kanisa, hawajui mafundisho ya Kanisa na wengine wamejaa chuki hata kabla ya taarifa kama hizi.
Uhai wa Kanisa upo mikononi mwa Kristo na yeye mwenyewe alishatuhakikishia Kanisa halitoshindwa. Let's watch and pray [emoji120]
Ikitokea amekuwa shoga kama kunanafasi ya kumwondoa ataondolewa kama haipo atatengwaMkuu siungi mkono wala kukubaliana na habari ya ushoga, ila twende kwenye uhalisia, hatuombei iwe hivyo na Mungu aepushilie mbali lakini ndio tuseme imetokea mwanao amekuwa shoga, utatumia approach gani kuliendea swala hili!
Mkuu hii changamoto ya ushoga ni kama ilivyo kuwa janga la Ukimwi miaka ya 90. Ukimwi sasa hivi sio habari ya kutisha kama mwanzo! Tuwe na Akiba ya maneno!
Sipo kwa ajili ya ubishi ndugu yangu ila nimekulia kwenye familia ya kiislamu pale mikindani kwasababu upande wa mama yangu wote ni waislamu ilitokea tu mama yangu kuzaa na baba yangu ambaye ni mkristo,kwahiyo siwezi kujisifu kuwa eti naujua sana uislamu hapana ila naujua kwa kiasi chake kwasababu babu alikuwa ananipeleka madrasa tangu mdogo mpaka nafika darasa la 7 ila baadae baba yangu akanichukua nikaenda kwakeNaheshimu mawazo yako mkuu
Ila huenda huujui uislam ila ndio inaweza ikawa sahihi zaidi kwako
Kuhusiana na kuyafuata ama laa tatizo la pande zote
Wapo waislam wanazini wanaiba wanalewa wanaua wanakula riba wanacheza kamari nk
Ila ukija kwenye uislam yote hayo yameharamishwa
Hujachelewa karibu uislamu
Mkuu kwanza nitangaze msimamo wangu, kamwe siungi mkono habari ya ushoga!Papa kakosea sana tena sana, tunamuombea sana kwa Mungu amuongoze vyema.
Hatuungi mkono kauli ya kuwabariki ndoa za Mashoga kwani kufanya hivyo ni kwenda kinyume na mafundisho ya mwenyezi mungu.
Hatukubali na kamwe hatutaki bora tukose misaada lakini sio kutetea ndoa za jinsia moja.
Huu ni Upotoshaji.Mkuu kwanza nitangaze msimamo wangu siungi mkono habari ya ushoga!
Samahani mkuu unasema Mungu yupi? huyu huyu Mungu uliyeletewa na Kanisa Katoliki chini ya Papa kama huyo tena wakati huo wakikuona kama nyani??!!
Mkuu fahamu sasa waliokuonesha Mungu wao nawe ukakubalian nao, leo wanakuambia watawapokea na kuwabariki mashoga! unashupza shingo, utaweza??!!
Mkuu unajuaje huyo Mungu hakufanya kikao na papa? Si ndio baba hapa duniani, toka ulimuamini kumuakilisha Mungu hapa duniani hata kusameheana dhambi? Unajuaje hajamuagiza hayo??? Hujaona urefu wa waraka??
Unapiga kelele ilhali Jumapili ya Kesho kutwa utaenda Kanisani mwenyewe kuabudu huyo Mungu wao chini ya mapadre wanaosimamiwa na papa! Unajibaragua tu!
Huna ubavuni wa kupinga! Wewe changamsha kijiwe, na mikwara mbuzi, Jumapili ukale sakramenti, tena kwa kusujudu!
Tupunguzie kelele hapa, wewe una Mungu toka lini??!!
Mie sijabishana nimekuelekeza tu ndugu yanguSipo kwa ajili ya ubishi ndugu yangu ila nimekulia kwenye familia ya kiislamu pale mikindani kwasababu upande wa mama yangu wote ni waislamu ilitokea tu mama yangu kuzaa na baba yangu ambaye ni mkristo,kwahiyo siwezi kujisifu kuwa eti naujua sana uislamu hapana ila naujua kwa kiasi chake kwasababu babu alikuwa ananipeleka madrasa tangu mdogo mpaka nafika darasa la 7 ila baadae baba yangu akanichukua nikaenda kwake
Unaona ulivyo na uelewa mdogo inamaana hata hapo nilipokueleza kuwa nilikùwa nnapelekwa madrasa utaniambia huko madrasa nako hawaujui uislamu ila unaujua wewe?Mie sijabishana nimekuelekeza tu ndugu yangu
Unaweza ukalelewa na waislam wasioujua uislam ama wasio uishi uislam huna utakachopata toka kwao mzeee
Narudia tena madrasa uliishia levo gani kwanzaUnaona ulivyo na uelewa mdogo inamaana hata hapo nilipokueleza kuwa nilikùwa nnapelekwa madrasa utaniambia huko madrasa nako hawaujui uislamu ila unaujua wewe?
Unaujuaje uislamu bila kuusoma?Narudia tena madrasa uliishia levo gani kwanza
Narudia tena unaweza ukasoma madrasa nausiuelewe uislam
Wangapi wanasoma ama wamesoma madrasa ila hawasali wanacheza kamari wanazini nk na haya yote kharam
Kusoma ama kuenda madrasa kunaweza kusiwe sababu yakukufanya uujue uislam na kinyume chake pia sahihi