Ushauri kwa BAKWATA

Ushauri kwa BAKWATA

Hakuna kitu kigumu sana duniani kwenye elimu km kumuelewesha mtu aliyekariri. MTU AKIIKARIRI DINI HILO NI JANGA LA KIHISTORIA DUNIANI...... NI ASILIMIA TANO TU YA HAO UNAOTAKA KUWAELEWESHA AMBAO HAWAJAKARIRI KWA HAPA KWETU TANZANIA
 
Mkuu kavulata sikutegemea kama utakuwa empty kiasi hiki ...Nani kakudanganya kuwa mtu akisoma sana Quran bila secular atakuwa mtengeza majini !! daa kumbe uko empty kiasi hiki je vipi kuhusu wachungaji niambie Kazi anayofanya kadinali pengo zaidi uchungaji? mi naona umeamua kutukana waislamu ila unaogopa kuongea moja kwa moja ...hivi unajua kuwa shule za fedha Ni zakiislamu?
 
Nenda kaone ni akina nani wanaosoma FEZA hakuna masini pale, ni watu wenye mitaji yao na dini mbalimbali, hawakatazi ZION kusoma pale ni uwezo wako wa kulipa tu. Hapa naongelea wewe mmatumbi usiokuwa na kitu lakini mwanao anaenda shule kidogo na kivivu na madrasa zaidi na kwa bidii, lazima atafuga majini tu na vijisenti vya kufungisha ndoa mitaani, wazazi hawana tabia ya kumlipa hata ustadhi anayefundisha madrasa. Pengo hana mke wala mtoto anahitaji hela ya nini? Halingani na yule mwenye wanawake 4 na watoto 20 na kazi hana, kwanini asijifunze uganga wa matalasimu? Niambie shule ya Zanzibar iliyoko kwenye shule 10 bora Tanzania. Ndo maana wengi wao wako Oman na Dubai wanakopata mitaji ya biashara, nawengine wanaimba taarabu, lakini hata wafuga majini wako wengi sana kule. Ila kama muislam akiamua kusoma anakuwa msomi kwelikweli maana akili wanazo kwelikweli kiasi cha kumudu kuihifadhi dini yao kichwani. Haani hata ukiichoma misahafu yao yooooote keshokutwa wanaiandika upya vilevile ilivyokuwa kutoka vichwani mwao. Hii ni tofauti na upande ule wa pili ambao kila siku lazima wabebe vitabu vyao kwenda kwenye nyumba za ibada
 
hawaajiriki kwa kukosa elimu na ujuzi na wala hawana mitaji na ujuzi wa biashara, shiida, wale wenzao wanapeta tu kwenye mayadi ya magari, shida iko kwa wamatumbi
Ushauri wako ni sahihi, ila na ww usiwaandae wanao kuajiliwa waandalie mitaji kwa maana wengi waliofanikiwa katika maisha ni wafanyabiashara na si waajiriwa(wafanyakazi) legeza ubongo.
 
hawaajiriki kwa kukosa elimu na ujuzi na wala hawana mitaji na ujuzi wa biashara, shiida, wale wenzao wanapeta tu kwenye mayadi ya magari, shida iko kwa wamatumbi
Ushauri wako ni sahihi, ila na ww usiwaandae wanao kuajiliwa waandalie mitaji kwa maana wengi waliofanikiwa katika maisha ni wafanyabiashara na si waajiliwa(wafanyakazi) legeza ubongo.
 
Ushauri wako ni sahihi, ila na ww usiwaandae wanao kuajiliwa waandalie mitaji kwa maana wengi waliofanikiwa katika maisha ni wafanyabiashara na si waajiliwa(wafanyakazi) legeza ubongo.
Mkuu uko sahihi kabisa, biashara pia inalipa sana lakini biashara pia inahitaji ujuzi wa biashara na uzoefu wa tangu utotoni na mitaji ya kurithi kutoka kwa wazazi au kupewa ambayo wenzangu na mimi hawana fursa hiyo, fursa yao pekee kwa watu kama hao ni elimu tu ambayo inaweza kuwafanya siku moja wawe madakitari, walimu, mameneja, hata wabunge na kukopesheka na vyombo vya fedha na kupata mitaji pamoja na ada ya kuwasomesha watoto wao na hatimaye kuukata ule mnyororo wa umaskini wa ukoo uliokuwa umewafunga miguuni. Njee ya elimu mtoto wa maskini hana chake. Ndiyo maana Rais Magufuli aliamua kuwasaidia maskini kwa kuwasomeshea watoto wao. Sasa kama hawataitumia fursa hii ya elimu bure sasa na kukumbatia zaidi madrasa itakula kwao miaka 10 ijayo.
 
Yarzuku man'shaau bighayr hisaab(Mwenyezimungu anampa amtakae tena bila ya hesabu)
 
kwani wamatumbi ndo masikini sana? we kavulata Ni mtu wakujiona sana ...nenda forest shule ya the Islamic foundation kaangalie taaluma inayotolewa pale nenda alhikma kaangalie..kwanza unanichefua tu ngoja nikuwekee list ya shule za kiislamu ili utulie
 
Soma kwa jina LA mola aliekuumba. wengi MNA matamanio ya kidunia elimu kama elimu ni njia moja kuu ya kumtambua mola wako na sio elimu ikuajiri umeskia acha tamaa za kidunia
 
Mleta mada una hoja ya msingi sana na umesema ukweli ambao waislamu wengi wetu hatupendi kusikia

Tatizo mtu akikusoma kimihemuko lazima akuattack personally badala ya kujibu hoja
 
dini yetu inatutaka kusoma quran na kuiweka kichwani na kuwalazimisha watoto wetu kufanya hivyo kwani Mwenyezi Mungu alishajua kuwa zama za mwisho vitabu vitavamiwa, watu watabadilisha baadhi ya aya as quran kwa manufaa Yao binafsi, hapo kama quran haipo kichwani utaweza kubabaika lkn kama ulibahatika kuisoma na kuihifadhi kichwani huwezi kubabaika. Na Allah anajua zaidi
 
Dunia imegeuka geukieni elimu dunia kwa watoto wenu wa Kiislam kwa vitendo. Geuzeni madrasa zenu kuwa vituo vya elimu ambako watoto wanafunzwa masomo ya dini, hesabu, english, sayansi, historia, na ufundi badala ya kulazimisha watoto wenu wakariri (wahifadhi) Quran pekee wakiwa wadogo sana umri uleule ambao watoto wengine wako bize na kujifunza A B C D na 1, 2, 3,.... Umri mdogo ni muhimu sana kwa watoto kuhamasika kujifunza kitu chochote.

Nimefanya utafiti wangu mdogo kwa watoto wa kiislamu nikagundua kuwa wale wanaoimba taarab, muziki, wakata mkaa, wamachinga, na walinzi wa usiku wengi wao wamepitia madrasa hizi lakini wamekosa elimu, ajira rasmi na mitaji ya kufanya biashara kama wale wenzao waliopitia madrasa pia lakini wana asili ya Asia kama vile waarabu, wahindi, wapemba, nk.

Hii ina maana kuwa elimu ya madrasa haitoi ajira, ujuzi wala mitaji ya biashara kwa watoto wanapokuwa watu wazima hasa kwa watoto ambao hawana asili ya Asia. Yaani waislamu weusi wengi wao wanakosa elimu, ujuzi na mitaji ya biashara wanapofikia umri wa kujitegemea na matokeo yake watanyakazi yoyote bila kujali elimu ya dini waliyoipigania na kuihifadhi vifuani walipokuwa watoto kwenye madrasa hizi.

Hii ni tofauti kabisa na watoto wa kiislamu wenye asili ya Asia ambao watakuwa na elimu ya dini na ujuzi na mitaji ya kufanya biashara. Wengi wao weusi wenye elimu kubwa ya kidini wanaishia kugombania uimamu misikitini na kutupiana majini, kuwa waganga wa kienyeji na wapiga ramli na makafara ili kujipatia riziki.

Wazazi wa Watoto wa kiislamu weusi (Waafrika) lazima wawe makini sana kwenye elimu za watoto wao wakiwa wadogo, maana samaki anakunjwa akiwa mdogo, wapeni watoto elimu zote za dini na dunia kwa wakati mmoja utotoni ili kuwapunguzia adha ya kuwa wazindikizaji wa wenzao kwenye maisha watakapokuwa wakubwa, maana elimu ya dini haitoi ajira ya kutosha kwa vijana wengi.
Kwani umesahau maana ya Boko Haram Broo!?
 
Back
Top Bottom