1. Yohana mbatizaji alikatwa kichwa na hata alipowekwa ndani Yesu hakuenda kumtembelea
2. Wote uliowataja walionya watu kuhusu adhabu ya Mungu kutokana na dhambi. Kwenye siasa hakuna dhambi bali jinai, nk.
3. Daudi alikuwa ni mfalme na hakuwa mtumishi wa Mungu Moja kwa Moja wa madhabahuni ndio maana alipopiga chabo na kumchukua mke wa mfanyakazi wake Mungu alimtuma nabii
Unajua kazi ya askofu mkuu?
Askofu Gwajima anaonya Nini? Umesahau wakati anaanza kuonya alikuwa ni mbunge?
3.Daudi alikuwa nabii
Matendo 2:30
Lakini kwa vile Daudi alikuwa nabii, alijua kuwa Mungu alimwapia kiapo kwamba atamtawaza mmoja wa uzawa wake kuwa mfalme mahali pake.
1.alipokuwa gerezani yesu YOHANA MBATIZAJI UJUMBE alimtumia ujumbe.
Yesu anamuita Yohana mbatizaji kuwa ni mkuu kuliko wanadamu wote na pia Yesu
na ndiyo yule ELIYA roho ya ELIYA ikllikuwa na Yohana mbatizaji
na maneno haya Yesu anayasema kumuelezea YOHANA MBATIZAJI akiwa gerezani..HAKUNA KOSA LOLOTE ALILOLITENDA YOHANA MBATIZAJI kwa kumkemea maovu..kukemea maovu haijawahi kuwa ni dhambi..ila kunyamaza maovu yakifanyika .
Amin, nawaambia, miongoni mwa wale waliozaliwa na wanawake, hajatokea mtu aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji. Lakini aliye mdogo kabisa katika Ufalme wa Mbinguni ni mkuu kuliko Yohana. 12 jTangu siku za Yohana Mbatizaji hadi sasa, Ufalme wa Mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wanauteka. 13 kKwa maana manabii wote na Sheria walitabiri mpaka wakati wa Yohana. 14 lIkiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja. 15 mYeye aliye na masikio, na asikie.
Matthew 11:2-19Summary
2 Yohana aliposikia akiwa gerezani mambo ambayo Kristo ▼ alikuwa akiyafanya, aliwatuma wanafunzi wake 3 ili wakamuulize, “Wewe ndiye yule aliyekuwa aje, au tumngojee mwingine?”
4Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona: 5 dVipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanahubiriwa habari njema. 6 eAmebarikiwa mtu yule asiyechukizwa na mimi.”
7 fWale wanafunzi wa Yohana walipokuwa wanaondoka, Yesu akaanza kusema na makutano kuhusu Yohana Mbatizaji. Akawauliza, “Mlipokwenda kule nyikani, mlikwenda kuona nini? Je, ni unyasi ukipeperushwa na upepo? 8Kama sivyo, mlikwenda kuona nini basi? Mtu aliyevaa mavazi ya kifahari? La hasha, watu wanaovaa mavazi ya kifahari wako katika majumba ya wafalme. 9 gBasi mlikwenda kuona nini? Mlikwenda kumwona nabii? Naam, nawaambia, yeye ni zaidi ya nabii. 10 hHuyu ndiye ambaye habari zake zimeandikwa:
“ ‘Tazama nitamtuma mjumbe wangu mbele yako,
atakayetengeneza njia mbele yako.’
11 i Amin, nawaambia, miongoni mwa wale waliozaliwa na wanawake, hajatokea mtu aliye mkuu kuliko Yohana Mbatizaji. Lakini aliye mdogo kabisa katika Ufalme wa Mbinguni ni mkuu kuliko Yohana. 12 jTangu siku za Yohana Mbatizaji hadi sasa, Ufalme wa Mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wanauteka. 13 kKwa maana manabii wote na Sheria walitabiri mpaka wakati wa Yohana. 14 lIkiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja. 15 mYeye aliye na masikio, na asikie.
2.Jinai ni sheria za nchi dhambi ni sheria ya Mungu,na hukumu ya Mungu ni ya haki..MENE MENE TEKELI NA PERESI..
Kisheria za kibinadamu au kisiasa na serikali za wanadamu japo au tendo linaweza lisiwe KOSA AU JINAI kisheria ya binadamu ,ila kwa sheria ya Mungu likawa ni DHAMBI.na Mungu akalihukumu kwa haki yake.