Ushauri kwa Askofu Gwajima, John Heche na wanasiasa wengine

Kitchener

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
13,823
Reaction score
27,695
HUU UZI SIO WAKUUNGANISHWA, UNAJITEGEMEA.

1. muwe makini sana na matamshi yeyote mnayofanya popote, na hii ni kwa watanzania wote wanaowasemea wengine, watu wabaya wakikosa cha kukushitaki, huwa wanajua with time utajikwaa tu kama sio kwenye sheria za cyber, basi kwenye matamshi yako kwa sababu kikawaida wanajua hawana cha kukushitaki kisheria, hivyo hukufuatilia wee siku utakapoteleza ulimi ukavunja kakipengele ka sheria, kazi imeisha, unapelekwa segerea na wao wanapumua. HIVYO KUWENI MAKINI NA MATAMSHI YENU TAFADHALI, ONGEENI KWA HEKIMA, BUSARA NA KWA AKILI, NA MPUNGUZE KUSAMBAZASAMBAZA VITU MTAANI, WEWE FANYA NA WATU WENYEWE WASAMBAZE ILA SIO WEWE.

2. Tundu lisu alifuatiliwa sana kwenye matamshi kwani walijua wiht time atateleza tu ulimi ili wapate hati ya mashtaka, ninyi msiingie mtego huo, ongeeni kwa hekima na busara ila ongeeni point tu, mkijua wapo hapohapo wanawasikiliza wametumwa kutafuta mnaongea nini au mnafanya nini wapate cha kuwapeleka gerezani.

3. Tundu lisu asingekuwa gerezani kama angefuata ushauri huu, tungekuwa naye huku nje anasaidia kupaza sauti juu ya mdude na kina soka. masisiemu wana akili nyingi sana, wanajua wapi pa kuwapatia watu waliokerwa na jambo, wanakukasirisha halafu wanakusubiria kwenye kona uingie kwenye anga zao, na ukiingia utajikuta kweli umevunja sheria na wana uhalali kukushikilia gerezani. ndivyo wanavyotumia sheria kwa faida yao.
 
Huna cha kufanyia reference kuhusu Tundu Lissu, sababu hata waliomfungulia hiyo kesi wanajua ni magumashi na ndiyo maana hadi leo wanadai upelelezi haujakamilika. Tofauti na hapo labda iwe kichwa kifuu tupu.

Hata wewe unaweza ukasema "Mitano tena" lakini wakakuweka ndani wakidai umefanya kosa hilo watakalolitaka wao
 
Huna cha kufanyia reference kuhusu Tundu Lissu, sababu hata waliomfungulia hiyo kesi wanajua ni magumashi na ndiyo maana hadi leo wanadai upelelezi haujakamilika. Tofauti na hapo labda iwe kichwa kifuu tupu.

Hata wewe unaweza ukasema "Mitano tena" lakuni wakakuweka ndani wakidai kwa kosa hilo watakalolitaka wai sababu sheria inawaruhusu.
nimemweka Lisu kwa sababu hata kama amebambikwa ila jua walikosa maeneo mengine yooote wakawa wanahangaika kwenye matamshi, hivyo ni muhimu watu wawe makini na matamshi. hata kama amebambikwa ila matamshi.
 
Huna cha kufanyia reference kuhusu Tundu Lissu, sababu hata waliomfungulia hiyo kesi wanajua ni magumashi na ndiyo maana hadi leo wanadai upelelezi haujakamilika. Tofauti na hapo labda iwe kichwa kifuu tupu.

Hata wewe unaweza ukasema "Mitano tena" lakuni wakakuweka ndani wakidai kwa kosa hilo watakalolitaka wai sababu sheria inawaruhusu.

Nakazia.
 
kuna mtu mmoja alisema

katiba ni kajitabu tu

ninaanza kuamini, maana yaliyomo hata moja halizingatiwi!
Mpaka pale Ina maana Hakuna Serikali Wala muhimili wowote ule.
 
Back
Top Bottom