Ushauri kwa anayesoma tahasusi ya HKL

chuzaboy

New Member
Sep 20, 2017
2
1
Wana jamvi naomba ushauri kuhusu kijana anayechukua hkl baada ya kumaliza ana fursa gani na kozi gani baada ya kufika chuo ambazo ataendana na soko la ajila..
 
Wana jamvi naomba ushauri kuhusu kijana anayechukua hkl baada ya kumaliza ana fursa gani na kozi gani baada ya kufika chuo ambazo ataendana na soko la ajila..
HAKUNA COURSE ISIYOKUWA NA KAZI.
SEMA UNATAKA KUFAHAMU ANACHOFIT
KAMA VILE
… ..Law
… ..education
… ..language management
… ..health system management
… ..hospitality & tourism
… ..community development
… .project planning
… sociology
… public relation
 
Ukitaka ajira soma Sayansi, lakini ukitaka KAZI soma utakacho ila upanue ufikiri wako ufikiri nje ya sanduku. Ajira hazitoshi hasa kwa shahada za sanaa na sayansi jamii, ni NYINGI mno.
 
Kwa kuwa ajira kila mtu anastruggle kimpango wake baada ya kumaliza chuo, kwa mtu aliyesoma HKL asome programme ambayo yuko interested nayo. Apart from program zilizoorodheshwa na Anthony hapo juu zingine ni kama vile
- B. A. in Library and Information studies
- B. A. in Development Studies
Hiz ni coz mpya kwa vyuo vingi na kuhusu soko lake la ajira unaweza ukajionea mwenyew hata kweny nafasi za kazi zinazotangazwa serikalini.
 
Kwa awamu hii soma uelewe ili na uhitimu ujiajiri....hiv unafikiria soko la ajira kwa ww uliye sekondar leo siku ukimaliza bado litakuwepo kama tu waliohitimu chuo kuanzia 2014 hadi sasa wanasugua benchi....
 
1.Translation & Interpretation
2.Kupiga kazi Embassy kama umesoma Linguistics ikakaa fresh
 
Public Relations and Marketing. Ni bonge la kozi. Lipo pale SAUT. Ajira zake ni chache lakini ukiipata ulaji wake ni mrefuuuuuuu.
 
Public Relations and Marketing. Ni bonge la kozi. Lipo pale SAUT. Ajira zake ni chache lakini ukiipata ulaji wake ni mrefuuuuuuu.
Ajira zake ni chache kivip mkuu? Naomba maelezo kidogo kama hautojari mana nategemea kusoma course hiyo kuanzia mwaka mpya wa masomo 2017/18 lkn nimechagua nit Na vp ni chuo gan kizur kwa kozi huyo? Pia hiyo coz pale udsm wanaita public relation and advertising je kuna utofaut wowt na hiyo ya saut Na nit? Kama upo ni upi? Sorry kwa usumbufu lkn!!!
 
Back
Top Bottom