Katika kipindi hiki cha kuzuina msongamano, akina dada na akina mama jitahidini kuwahudumia vizuri wanaume zenu/ wachumba zenu hasa wale wanaotumia vileo. Mjitahidi hata kuvaa vimini, kuwa binuliabinulia makalio, kuwa uliza kama imeisha niongeze , kuwa pigia nyimbo wanazotaka wakati mwingine mcheze kabisa ila mkichukua tahadhari pia ili wasiboreke na kutamani bar. hii huenda ikasaidia hata baada ya covid-19 kumalizika.