Unapata, tengeneza bank statement tu uonyeshe huko unaenda hutaenda kuwa relay kuhudumiwa na serikali.
Unaenda likizo badae utarudi hata km hautarudi.
Ukionyesha cheti cha ndoa bonus wanajua utarudi tu.
Masharti yote hayo wanaweka ili usije kwenda huko ukawa mzigo unakula kodi zao.