Ushauri kuhusu software nzuri kwa ajili ya kuendesha microfinance

masimango

Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
26
Reaction score
7
Habari za kazi wakuu,

Heshima kwenu sana. Naomba ushauri kuhusu Software / Accounting Package gani nzuri ambayo ntaweza kuitumia kwenye kuendesha Microfinance.

Nitashukuru sana nikipata ushauri wenu..
 
Namimi nasubiri nijulishwe software gani nzuri
 
Habari za kazi wakuu,

Heshima kwenu sana. Naomba ushauri kuhusu Software / Accounting Package gani nzuri ambayo ntaweza kuitumia kwenye kuendesha Microfinance.

Nitashukuru sana nikipata ushauri wenu..

Manage Accounts zako kwa kutumia check book register hii , Bonyeza hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…