Gol D Roger JF-Expert Member Joined Sep 16, 2023 Posts 2,324 Reaction score 6,140 Aug 5, 2024 #1 Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini....
Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini....
Ambition plus JF-Expert Member Joined Feb 23, 2018 Posts 7,003 Reaction score 13,330 Aug 8, 2024 #2 Blackbeard Agenda said: Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty View attachment 3062372 View attachment 3062375 Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Click to expand... Blackbeard Agenda said: Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty View attachment 3062372 View attachment 3062375 Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini.... Click to expand... Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa
Blackbeard Agenda said: Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty View attachment 3062372 View attachment 3062375 Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Click to expand... Blackbeard Agenda said: Nataka nichukue hizi mbili, Dapper Man na Royalty View attachment 3062372 View attachment 3062375 Kama ushawahi kutumia hizi perfume za Ematscents nipe madini.... Click to expand... Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa
Gol D Roger JF-Expert Member Joined Sep 16, 2023 Posts 2,324 Reaction score 6,140 Aug 8, 2024 Thread starter #3 Ambition plus said: Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa Click to expand... Mmh sawa, kuna kipindi kama cha wiki moja hv nilikuwa natumia perfume yao moja inaitwa Gentleman(haikuwa yangu), nilikuwa nasifiwa sana, nikawaza maybe hawa jamaa wana kitu ngoja nijaribu perfume zao. Bado unaendelea kutumia?
Ambition plus said: Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa Click to expand... Mmh sawa, kuna kipindi kama cha wiki moja hv nilikuwa natumia perfume yao moja inaitwa Gentleman(haikuwa yangu), nilikuwa nasifiwa sana, nikawaza maybe hawa jamaa wana kitu ngoja nijaribu perfume zao. Bado unaendelea kutumia?
M Mundele Makusu1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 2,627 Reaction score 3,721 Aug 15, 2024 #4 Pitia Uzi wa manukato utapata madini zaidi
bway hermit JF-Expert Member Joined Jan 8, 2017 Posts 1,360 Reaction score 2,356 Aug 18, 2024 #5 ziko vizur tu nlishatumia profondo,sauvage,opium zilikua fresh tu
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 116,389 Reaction score 188,120 Aug 28, 2024 #6 Ambition plus said: Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ambition plus said: Mimi ni moja kati ya wateja loyal wa huyo bwana toka yuko makumbusho...ukweli anauza jina...hamna perfume hapo ni takataka kabisa Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]