kitoto wa vitoto
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 360
- 386
Nawasalimu nyote kwa pamoja
Kama uzi wangu unavyosema,
Mimi ni kijana kutoka katika familia ya kipato cha chini
Lakini sion aibu kuweka wazi maisha halisi ya familia yetu, kwa kuwa mficha uchi hazai
Natamani kujikwamua kutoka katika hali hii kwa nguvu zangu zote hali inayonilazimu kufanya kazi usiku na mchana bila kuchoka na bila kukata tamaa
Elimu yangu ni kidato cha nne tu.
Malengo yangu ni kukusanya fedha kidogo kidogo ili niweze kununua shamba pori Hekari kumi (10) kisha nijikite kwenye kilimo. Kwa ari na nguvu hii naamini naweza.
Hilo ni wazo langu
Je ninyi wanajamvi mna maoni au ushauri gani kwangu?
Natanguliza shukurani zangu kwenu.