Ushauri kuhusu mwanamke mkavu ukeni

Wakuu mmenijenga sana hapo juu, naomba kujibu hivi

Kuhusu kunipenda kiukweli siwezi kumsemea yeye nachojua napendwa hata kuliko navyompenda mimi, kutokana na tunavyoishi,.
Uke wake unakua tight muda mwingi sana coz njia bado ni approximate to 0KM mi ndo niliifungua. Anakua anaogopa sana mwanzoni lakini baadae akishakaa sawa kidogo ile hali inapotea mpaka anayamwaga kitandani ( Huyu ni mpare sio muhaya ndo nikabaki kushangaa)

Hofu yangu ni hii mbususu inabana sana, michezo ambayo hatupendi ni kupakana mate sehemu za siri kiukweli wote hatupendi, kuhusu kumuandaa ninamuandaa zaidi ya nusu saa wakuu, utelezi ndani unakuwepo kwa namna fulani, ila ukitaka kuanza tu anakua muoga sana mpaka napaniki nakua na hasira na uume unaanza kulala,
 
1: Mwanamke wako awe kila siku Nakula ugali, hafu utengemee kitanda ni uogelee upige mbizi ulowe? No

2: hivi nyie mnajuafa siri tunawwka moyoni au? Kuna ile gaflq unajikuta ushaingia mahusiano na mtu ambae huna feeling nae na hawezi kukwambia basi jua hata ufanyeje uwezi ogelea maisha yako yote.

Nb, wewe jifanye ati mnapendana ila ukwelo no 2 hapo inakuhusu basi ana aibu kukuambia
 
Mmmh sio wote wenye hali ngumu wanakuwa wakavu.
Kuna wapo hata awe na midege lkn ni mkavu daima
 
Naombeni msaada njia sahihi ya kumuondolea hili tatizo, maana naona kabisa nakua sipo sawa kifikra inapokuja suala la tendo.
Hakuna namna, ni maumbile yake, hakikisha unakuwa na hii kitu ndani.

Uke wake unakua tight muda mwingi sana coz njia bado ni approximate to 0KM mi ndo niliifungua.
 
Huwa naamini kuwa ukiona mwanamke kwenye tendo na ni mkavu ujue hana hisia na wewe au anatumika sana kwa hiyo hana nyege na wewe🤔
 
Mmmh sio wote wenye hali ngumu wanakuwa wakavu.
Kuna wapo hata awe na midege lkn ni mkavu daima
Nani kasema hali ngumu? Kula ugali ni hali ngumu? Naongelea aina ya vyakula kama ugali, mbona ugali kuku samaki, dagaa ni chakula kizuri kwa nini ukihusishe na hali ngumu?
 
Huyo hakupendi hakuna mwanamke mkavu kwa mwanaume anayempenda. Mwanamke analowa hata kwa kushikwa tu na mwanaume anaempenda. Ndio maana makahaba huwa wanatembea na mafuta ili kurahisisha kwakuwa hana hisia na huyo anaesex nae.
 
Mojawapo ya makosa makubwa kwenye mahusiano ni kufanya ngono na mtu ambae una dhamiria kumuoa au kuolewa nae.

Kama mtakuja kuoana usitegemee huyo mwenza wako atakuamini kwa sababu anajua huna uwezo wa kudhibiti hisia na matamanio yako ya ngono.


Sent from my SM-N960U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…