Hongera mkuu kwa kuamua kujikwamua. Ila pole pia kwa mihangaiko.
Kotokana na kipato ulichoweka hapo juu, ningekushauri utafute gari isiyozidi 1500cc kwa sababu zifuatazo.
1) Ushuru wa TRA (Road License) ni nafuu kwa gari ndogo < 1500cc
2) Uta-save pia kwenye mafuta. Matumizi makubwa ya gari yapo kwenye mafuta, na sio service wala spea.
3) Service ya engine ndogo ni bei ndogo sana, tofauti na engine kubwa.
Kwa collora Premio, sijawahi ona yenye engine ya 1500cc, ila nafahamu ipo ya 1600cc na ulaji wake wa mafuta ni mzuri sana. Spea pia zipo na bei ni nafuu sana. Ila kuna Premio za 2000cc, hizo sifahamu utumiaji wake wa mafuta ukoje, labda mdau mwingine atufahamishe.
Ila pia, unaweza jaribu Toyota Raum, ni 1500cc na utumiaji wa mafuta ni mzuri. Spea pia zipo nyingi na bei ni nafuu. (In fact, Raum inatumia spea za corrolla, na engine yake ni ile ile ya Toyota Starlet)
Mambo mengine ya jinsi ya kupata mkopo, ngoja tusubiri wadau tuone wanalipi la kuchangia.
nina uwezo wa kulipa 300000/=
kwa mwezi.

Habari wanajf;
mimi ni mtumishi wa umma na kipato changu ni Tsh 400000/=(take home)
nataka kukopa mojawapo ya gari hizi forester/ suzuki escudo/corona premio.
Naomba ushauri kama kuna sehemu naweza kupata mkopo wa aina hiyo(achilia mbali kukopa fedha taslimu kutoka bank)
msaada jamani nshachoka kupanda dala dala.
Ramthods,
Hebu nijulishe kuhusu Corolla Spacio XG Edition 1ZZ Engine...
Asante
Askofu,
Corolla Spacio XG Edition zipo zenye 1800cc, hizi zinatumia engine ya 1ZZ-FE, na zipo za 1500cc ambazo zinatumia engine ya 1NZ-FE.
Engine ya 1NZ-FE inatumika kwenye Toyota IST, Corolla RunX, Toyota Allex, Corolla Fielder etc.
Kwa kifupi, engine zote za 1NZ-FE na 1ZZ-FE zinatumika kwenye magari mengi sana.
Ila, kama ilivyo kawaida, gari nyingi mpya huwa na shida ya spea kidogo na bei huwa juu. Lakini kutokana na engine ya 1ZZ na 1NZ kuwa na matumizi katika gari nyingi, hakuta kuwa na ishu ya spea sana kwenye engine. Isipokuwa, spea zitakuwa ishu kwenye Body Parts, kama vile taa, side mirrors n.k.
Engine zote zina VVT-i, hivyo tegemea matumizi mazuri ya mafuta.
Bei ya manunuzi pia ipo juu. Gari zinazotumia engine nilizozitaja hapo juu, nyingi FOB ni $3,600. Kwa mahesabu ya haraka, kuifikisha hapa home na kuitoa bandarini, andaa kitu kama 11M kwenda mbele.
Kama budget yako ni nzuri, tafuta Spacio XG Edition 1,500cc. Hii gari iko safi mzee, kuanzia interior hadi exterior design, performace and fuel economy. Ila, kutokana na suala la body parts kuwa expensive, tafuta Comprehensive Insurance, just in case umegongwa au umegonga gari ya mwenzako.
Kwa kifupi. Kama wewe ni mwendeshaji mzuri wa gari, itakuchukua mwaka mmoja na nusu au miwili (pengine hata zaidi) kabla hujaanza kutafuta spea ilala. So upatikanaji wa spea sio ishu sana kama wewe ni mtunzaji mzuri wa gari. Ishu ipo kwenye fuel consumption, maana hilo haliepukiki.
Mengineyo:
Kama budget ya Spacio XG haijakaa sawa, check Toyota Corolla Fielder XG Edition. Zote zinatumia engine hiyo hiyo, tofauti body tu! Utumiaji wake wa mafuta ni mzuri sana. Ukitoa macho sana kwenye internet, unaweza ukaingiza hichi kitu hapa nyumbani kwa 6.5M - 7.4M. Kazi kwako.

Sio mbaya pia ukipata nissan march, duet, vitz na funcargo haya
vp kuhusu SUZUKI JIMMY na swift?
KAA MBALi na hizo gari mkuu! Spea hakuna.
Wiki hii, kuna jamaa ametoa engine ya swift, ameweka ya Toyota 4A (Corolla). Hakuna spea kabisa mji mzima!
Tatizo dogo tu litakufanya ununue gear box impya na engine mpya!
we umesomea mambo ya magari nini!
umeshajenga?au umepanga?nakushauri kwa pesa hiyo waweza pata kiwanja kitunda,bunju,mbezi luis kuliko kununua gari kama una kwako sawa corolla limited nzuri au ka suzuki 3 doors
Samahani nikurekebishe kidogo mkuu!
Nissan March, Duet, Vitz sio gari za kununua! Furn gargo sio mbaya sana pia!