Ahsante mkuu kwahiyo inawezekana kwa mara ya kwanza nikipewa pioneer inaweza ikanitoa out hundred percent na kuangusha maembe sana tuuuNi vizuri sema Virtual Dj na Mashine za mixing kama Denon na Pioneer tofauti kabisa, ila cha muhimu ni kutafuta sehemu ambapo hivyo vifaa vya mixing wanavyo ukawa unajifunza taratibu
coz CUE kwenye Virtual Dj ni tofauti na kwenye real pioneer or Denon
Ahsante Goodluck lakin pia kutumia virtual na mashine kipi ni rahisi zaid apooNzuri ni mashine . hla virtual n t0faut na haina uhuru
Lazima Jasho litoke happy sio SanaAhsante mkuu kwahiyo inawezekana kwa mara ya kwanza nikipewa pioneer inaweza ikanitoa out hundred percent na kuangusha maembe sana tuuu
z0teAhsante Goodluck lakin pia kutumia virtual na mashine kipi ni rahisi zaid apoo
Nashukuru mkuuLazima Jasho litoke happy sio Sana
Ahsante kwa ushauri wako broz0te