Ushauri kuhusu kusomea mambo ya tours driving

CHRISSIE255

JF-Expert Member
Jan 21, 2020
221
178
Samahani wadau naomba kuuliza hivi ili ukitaka kupata ajira kama dereva wa tours ni lazima uwe umekidhi vigezo vipi? Na je ni vyuo gani vinafundisha course zao au ni hivi hivi vya driving kama VETA?

Naombeni msaada wenu wadau mwenye kuelewa.

Mbarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahan wadau naomba kuuliza hivi ili ukitaka kupata ajira kama dereva wa tours ni lazima uwe umekidhi vigezo vipi? Na je ni vyuo gani vinafundisha course zao au ni hivi hivi vya driving kama VETA?

Naomben msaada wenu wadau mwenye kuelewa.

Mmbarikiwe sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyuo vya veta vitakufundisha udreva - Angalau upate daraja C2. Baada ya hapo, itabidi ukasome mambo yautalii - Jinsi ya kuwaongoza watalii kuhusu, kuna vyou vingi tu vinavyofundisha mambo ya utalii, sasa ili mtu akushauri vizuri, ungesema uko mkoa/wilaya gani ili wale walioko eneo hilo waweze kukushauri ni chuo kipi kizuri
 
Nipo Arusha

M sio mwenyej sana mkuu naomba unsaidie kama wavijua ili niwasliane nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hiki chuo kinahitwa Proffesional Tour guide school, kipo sanawari. Kwenye hiyo link kuna mawasiliano yao, hiyo hap ni picha ya mwenye chuo.
 
Shukran ngoja niwasliane nao
Kuna hiki chuo kinahitwa Proffesional Tour guide school, kipo sanawari. Kwenye hiyo link kuna mawasiliano yao, hiyo hap ni picha ya mwenye chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom