Naomba ushauri kuhusu kozi ya Urubani

Naomba ushauri kuhusu kozi ya Urubani

Jasor

Member
Joined
Apr 4, 2023
Posts
28
Reaction score
45
Naombeni ushauri wenu

Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu nifanye nini kwakuwa na maswali mengi sana. Nisome comb gani?

Vigezo gan ili nipate scholarship?

Ufaulu gan unahitajika?

Nani ataenisaidia?
 
Soma PCM au PGM.

Afu pata One ya 3 mpaka 5 hivi.

Afu haingaikia scholarship.

Kama Una bidii utafanikiwa,
Bidii na bahati utafanikiwa.

Mimi piah nilitamani hivyo. ILa Hali haikuruhusu.

ILa kuna machaguo mengi mazuri. Kasome electrical engineering au mechanical engineering Kama mbadala.

Afu baadae unaweza timiza ndoto kivingine. Ukifanikiwa kupata ufadhili kibongo kuna vyuo viwili vya bachelor kuhusiana na ndege kimoja kipo Dar kingine Zanzibar.
 
Naombeni ushauri wenu

Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu nifanye nini kwakuwa na maswali mengi sana. Nisome comb gani?

Vigezo gan ili nipate scholarship?

Ufaulu gan unahitajika?

Nani ataenisaidia?
Kasome PGM halafu upate division 1 point 3 hadi 5.
 
Naombeni ushauri wenu

Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu nifanye nini kwakuwa na maswali mengi sana. Nisome comb gani?

Vigezo gan ili nipate scholarship?

Ufaulu gan unahitajika?

Nani ataenisaidia?
Una mpunga wa kutosha?
 
Kuna uzi humu ndani unaelezea haya mambo utapa gharama za coz, muda wa mafunzo, nk ila ada si chini ya m30 kwa miez6 mwenzio nimepiga miez mitatu sikuwa na ada ya kumalizia nikaamua nitafute nafas ya hizi ndege zetu za bongo nakula maisha tu uzur wa ndege hz ziko fasta dar to mwanza second 6 ubaya wa hz ndege hazitoki nje ila ziko fasta sana mfano ile airungo3602 lile dude nishawai kwenda nalo sayar ya mwenz nilitumia kama dakika 9 hivi, karibu sana mdogo wangu
 
Aisee.
 
Achana na uraban utaishia kua msafisha airport kama uko vzur hesabu kapige PCM narudia kama upo vzuri hesabu matter shule then pata one utanshukuru baadae
 
Naombeni ushauri wenu

Mimi ni mwanafunzi nilie malza form four mwaka Jana Nina ufaulu wa 1: 8 huku mkoan Lindi ndoto yangu ni kuwa rubani lakn familia yang hainauwezo uwezo. Naombeni ushauri wenu nifanye nini kwakuwa na maswali mengi sana. Nisome comb gani?

Vigezo gan ili nipate scholarship?

Ufaulu gan unahitajika?

Nani ataenisaidia?
duh ulizia pale shule ya alpha high school mikocheni walianzaga mambo ya aviation au ni mambo ya club nadhani au nenda pale TCAA wakupe mmuongozo mzima.
 
Back
Top Bottom