Bobumikwara
Member
- Jul 17, 2014
- 43
- 14
Habarini ndugu, naombeni ushauri wenu.
Niliapply Chuo nje ya nchi yaani S.Afrika,ilikua ni mwezi wa pili (Master of education in philosophy),niliapply kwa njia ya online,Mungu alisaidia mambo yalienda vizuri,tatizo likawa Passport ilitakiwa kwenye attachment ya document zangu,nilipambana Mungu akasaidia nikaipata then nikaituma,ila nikawa nimechelewa kwa Semester ya kwanza ambayo huanza March,nikaambiwa nijaze form alafu nitick Semester two,nikafanya kama nilivyoelekezwa.
Mambo yakaenda fresh kabisa sababu niliapply na Scholarship nikaattach na supportive document.Mwezi wa 5 nilipigiwa cm kwamba nipo tayari kwenda kwenye enrolment?,nikawaambia ndiyo, ambayo ilitakiwa mwishoni mwa mwezi wa 6 niwepo kule,nikawaambia bado nasubiri scholarship feedback,wakaniambia niwacliane na office husika,nikafanya kama nilivyoelekezwa,wakaniambia scholarship feedback ni tar 7July ingawa wametoa tar 14 juzi yaani,nilipowacliana nao wakaniambia niwatumie admission number wacheki,nikakumbuka sikuifuatiliaga sababu nilijua itakuja na admission letter ili nipate VISA,tatizo yule staff member wao ambae nilimtumia certified copy zangu email yake nikimtrace inafail kudeliver email zangu,Semester two inaanza tar 25-28 July,Scholarship feedback sijaijua sababu admission no cfahamu,pia cwezi pata Visa bila admission letter nifanyaje wenye uelewa wa haya mambo.
Chuo chenyewe ni Monash South Afrika,ninamawazo sana sababu nilipenda sana mwaka huu nikaunganishe Master.Russia pia nimefukuzia wao mpaka mwezi wa tisa au wakumi ndo muhula unaanza.Ushauri wenu wakuu ntaheshimu mawazo yenu.Mungu awabariki.