Ushauri kuhusu kupewa likizo bila ya malipo

Ushauri kuhusu kupewa likizo bila ya malipo

Chukua likizo yako ya kawaida ya mwezi mmoja,"annual leave" nenda huko ukajaribu hicho kilimo au ukaone utaratibu wa kilimo kwenye hilo eneo ulilolichagua,

Ikiwa kama utafanikiwa kuanza hicho kilimo katika huo mwezi mmoja unaweza kutafuta msaidizi ili asimamie hilo shamba lako,ni vizuri zaidi ukamuweka mtu wa karibu yako,

Usiache kazi kwa kutegemea kufanya hicho kilimo ambacho bado hata hujakifanyia utafiti wowote, kumbuka mshika mawili moja humponyoka au mtaka yote hukosa yote,

Good luck.
Ni ushauri wangu pia kwamba kwa kuwa unaona kazi za serkali ni kupoteza muda ,bora uache kazi kabisa ili ukafanye kazi uliyoibuni ya kilimo
 
Back
Top Bottom