Ushauri kuhusu kupewa likizo bila ya malipo

Wala hakuna haja ya kuomba likizo isiyokuwa na malipo maana wewe mwenyewe unasema hizi kazi za serikali tunapotezeana muda mno. Hapo acha kazi kabisa mkuu ukawe mkulima tu!!

Hujamuelewa mdau, anataka kwenda kutest zali.
Hivyo anataka ikibuma arudi kupoteza muda akiwa anajipanga tena.
 
Wala hakuna haja ya kuomba likizo isiyokuwa na malipo maana wewe mwenyewe unasema hizi kazi za serikali tunapotezeana muda mno. Hapo acha kazi kabisa mkuu ukawe mkulima tu!!
Duuu haya bana
 
Mi ni mtumishi wa uma nataka niombe likizo ya bila malipo kwa mwaka mmoja nikafanye kilimo cha umwagiliaji Iringa-Luwaha je inaruhusiwa kirahisi ruhusa hiyo na nani anauelewa wowote nà kilimo cha huko?Maana kazi za serikali tunapoteza muda mno nna mtaji wa sh.2milioni ntatoka kweli?Napenda sana ujasiriamali kuliko kazi nishaurini.
sauda njoo nikuoe nitakupa tractor njoo pm nina mashamba mengi tu Mwanza
 
Usiogope kuchukua likizo ila una deni benki yoyote? Umefanya utafiti wa kutosha kuhusu aina ya kilimo unachoenda kufanya? Ni ruaha ipi labda ntakushauri pia zao linaloweza kustawi, anyway hata kama unakuwa ushajua unaenda kuzalisha zao flani,,, lima shamba ukiwa kazini then panda zao kabisa af chukua ruhusa ya miezi 6 tu ili uzalishe mazao ya muda mfupi angalau Mara 2.
Kingine cha kuzingatia, usilime shamba 1 kwa zaidi ya Mara 1 otherwise liwe n shamba lako. Usijenge mazoea saaana na wenyeji na hata msaidizi ikiwezekana mtoe sehemu nyingine etc etc
 
Luaha ya Iringa kilimo ni kitunguu swaumu Tangawiz nimeambiwa linakubali sana huko.Benk sina mkopo.
 
Owk,,,, jitahidi kuyajua mazingira vzuri wangu!. Ila usiogope kujaribu ndo akili hyo
 
Chukua likizo yako ya kawaida ya mwezi mmoja,"annual leave" nenda huko ukajaribu hicho kilimo au ukaone utaratibu wa kilimo kwenye hilo eneo ulilolichagua,

Ikiwa kama utafanikiwa kuanza hicho kilimo katika huo mwezi mmoja unaweza kutafuta msaidizi ili asimamie hilo shamba lako,ni vizuri zaidi ukamuweka mtu wa karibu yako,

Usiache kazi kwa kutegemea kufanya hicho kilimo ambacho bado hata hujakifanyia utafiti wowote, kumbuka mshika mawili moja humponyoka au mtaka yote hukosa yote,

Good luck.
Jamani mnisamehe km nitavuruga mada. Hili swala la uhamisho lwa watumishi limefika pabaya. Nina mwanangubhadi ameachana na mkewe kwa kuwa mbali kikazi. Alijaribu kuomba uhamisho lkn ndo mizengwe tu. Mke nae kaona havieleweki kadai kuachana na mume na kuzingatia kuwa mshahara wa mume ni mdogo akashindwa kumudu huduma ya mke na mtoto wakiwa mbali. Mm km mzazi nimeumia sana maana kijana psychologically ameathirika sana. Hebu mwenye ushauri aisaidie nimsaidie kijana wangu
 
Mke nae ni mfanyakazi?
 
Back
Top Bottom