Ushauri kuhusu kununua gari kutoka kampuni ya Be Forward

mbona tra wamekubamiza sana wakati,gari haina dumping fee,maaana ni less than 10 years,kwa mujibu wa calculator yao mpya?

Hapo ndipo wanaponichanganya, najiuliza au wanakadiria tu na hawafati maagizo ya calculator yao inavyosema, maana gari ya 2005 ni less than 10 years! Kwa hiyo kodi yake inatakiwa iwe pungufu kidogo
 
Hiyo Milioni tatu kaka ukienda kwenye tovuti ya TRA kuna kalkuleta wameiweka kwa ajili ya kukokotoa ushuru wa magari uagiziapo kutoka nje,kwa hiyo ukiplag thamani ya gari yako husika,mauchakavu n.k ndio hesabu inakuja huko nilipokutajia,ukiidownload hyo kalculeta itakuwa useful sana pale utakapotaka kuagiza magari Mkuu,kila la kheri

Shukrani sana kaka, sasa nimepata mwanga, na nimejua badget inayohitakija.
 
Karibu sana kwa msaada zaidi unaweza kuingia hapa wwww.dolphincargo.com kupata information zaidi ila kwa hapa nikupe dondoo zitakazoweza kukupa mwanga wa Uhakika na unachotaka kufanya..
Makisio ya Gharama ni kama zifuatazo (Zingatia Rate ya Dola inapanda na Kushuka nimetumia ya $1 kwa tsh 1600)
>>Customs Duties Tsh 3,873,010
>>Port Charges Tsh 186,912
>>Shipping Charges Ths 131,200
>>Plate No Tsh 38,000
>>Agency Fees Tsh 250,000
>>Compressive Insurance Tsh 269,500 (Thamani ya Gari ni Tsh 7,700,000)
>>Makisio ya kuitoa Gari yako Bandarini Itakucost Tsh 4,758,622

Shukrani kaka, nazidi kupata mwanga, ngoja niangalie pia kwenye hiyo site pia.
 
Hapo ndipo wanaponichanganya, najiuliza au wanakadiria tu na hawafati maagizo ya calculator yao inavyosema, maana gari ya 2005 ni less than 10 years! Kwa hiyo kodi yake inatakiwa iwe pungufu kidogo

Very simple ndugu zangu TRA wakikubamiza zaidi ya hiyo Calculator unakata rufaa tu..it is very simple lakini pamoja na kuwepo kwa Calculator yao. PLEASE note: ile system yao ya zamani haikutupwa, bali unapotaka kutoa gari bandarini unasubmit docs ambazo zinaonyesha CIF price na kama wakiona ipo juu ya ile ambayo wao wanaitumia basi wanaachana na yao na kutumia ya kwako..to miximize revenue.
 
Asante sana, naku PM
 
Habari wana forum! Naombeni ushauri pia kwa anayefahamu gharama za utoaji gari bandarini, maana nataka kuagiza na ndio mara yangu ya kwanza, kabla sijaagiza nimeona niombe ushauri pia kama kuna ma agent wanisaidie.
Nataka gari ya specifications zifuatazo

2003 TOYOTA WILL CYPHA

Current FOB price: $809
TOTAL PRICE CIF: $1,992

Specs Ref No BF199095
Location NAGOYA
Mileage 96,829
Model Code UA-NCP70
Registration Year/month 2003/3
Manufacture Year/month 2003/3
Version/Class Chassis # NCP70-0015711
Engine Size 1,290cc
Engine Code - Drive 2wheel drive
Ext. Color Red
Steering Right
Transmission. Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Seats 5 Doors 5
Dimension (L×W×H) 3.69×1.67×1.53
m M3 9.428
Weight 990 kg

Incase hio gari ukiona itakugharimu sana na kusubiria miezi miwili mpaka iingie, karibu kununua haka ka Will Cypha kengine kwa 6mil tu. Japo sio rangi unayotaka
0716398757
 
Attachments

  • 1388914112262.jpg
    1388914112262.jpg
    28.9 KB · Views: 279
  • 1388914143066.jpg
    1388914143066.jpg
    52.8 KB · Views: 295
  • 1388914178005.jpg
    1388914178005.jpg
    43.3 KB · Views: 274
  • 1388914202446.jpg
    1388914202446.jpg
    20 KB · Views: 247
Mkuu kwa gari hiyo andaa Shs.3,551,617/= kuligomboa bandarini,pia Shs.300,000/= port charges na Shs.250,000/= gharama za wakala atakayekutolea hilo gari. Likishafika uraiani kuna motor vehicle registration fee,kama Shs.220,000/=,Shs.150,000/= road licence na Bima kama Shs.220,000/=,upo????,jipange mwanangu kila kitu kinawezekana.Kwa hiyo jumla kuu itakuwa:(($1992*1630)+3,551,617+300,000+250,000+220,000+150,000+220,000)=8,038,577/=,kila la kheri Mkuu

Kodi inabeba registration ya gari na road licence,so punguza gharama zako,hyo 3.5 itakuwa umemalizana na tra
 
Habari wana forum! Naombeni ushauri pia kwa anayefahamu gharama za utoaji gari bandarini, maana nataka kuagiza na ndio mara yangu ya kwanza, kabla sijaagiza nimeona niombe ushauri pia kama kuna ma agent wanisaidie.
Nataka gari ya specifications zifuatazo

2003 TOYOTA WILL CYPHA

Current FOB price: $809
TOTAL PRICE CIF: $1,992

Specs Ref No BF199095
Location NAGOYA
Mileage 96,829
Model Code UA-NCP70
Registration Year/month 2003/3
Manufacture Year/month 2003/3
Version/Class Chassis # NCP70-0015711
Engine Size 1,290cc
Engine Code - Drive 2wheel drive
Ext. Color Red
Steering Right
Transmission. Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Seats 5 Doors 5
Dimension (L×W×H) 3.69×1.67×1.53
m M3 9.428
Weight 990 kg
Mkubwa, kwa hiyo kampuni ya kuingiza magari, wanayo ofisi yao Dar, karibu na Ocean Road hospital, ukiwatumia wao wenyewe kama forwarder itasaidia pia. Tatizo moja ni kwamba ki ofisi chao bado hakiruhusiwi na makao makuu Japan kupokea hela ya malipo ya gari, wanapokea hayo ma fee mengine yanayobaki Tanzania tu. Lakini watakupa data zote za nini unatakiwa kufanya na utaratibu wote wa kutuma hela.

Ushauri wangu mmoja tu, hiyo hela ya kukombolea gari ambayo wadau wanahangaika hapa kukukokotolea hakikisha unaiandaa kabla gari haijafika ili usiwape TPA sababu za kukukula hela za kukaa na gari bandarini, they are ruthless kwenye hilo. Kuna wakati hela unayo na bado gari wanazuia, usiwaongezee sababu kabisa.
 
Kodi inabeba registration ya gari na road licence,so punguza gharama zako,hyo 3.5 itakuwa umemalizana na tra

Haina noma mkuu,bora kagharama kapungue kiduchu,manake ni majanga sana kaka mkuu,mi nilijua ukifika kitaa wanakuchanja tena hayo ma-item mawili niliyoyaainisha
 
Habari wana forum! Naombeni ushauri pia kwa anayefahamu gharama za utoaji gari bandarini, maana nataka kuagiza na ndio mara yangu ya kwanza, kabla sijaagiza nimeona niombe ushauri pia kama kuna ma agent wanisaidie.
Nataka gari ya specifications zifuatazo

2003 TOYOTA WILL CYPHA

Current FOB price: $809
TOTAL PRICE CIF: $1,992

Specs Ref No BF199095
Location NAGOYA
Mileage 96,829
Model Code UA-NCP70
Registration Year/month 2003/3
Manufacture Year/month 2003/3
Version/Class Chassis # NCP70-0015711
Engine Size 1,290cc
Engine Code - Drive 2wheel drive
Ext. Color Red
Steering Right
Transmission. Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Seats 5 Doors 5
Dimension (L×W×H) 3.69×1.67×1.53
m M3 9.428
Weight 990 kg

Kati ya waliokujibu hakuna hata aliyekushauri kuhusu be forward wote wamekushauri kuhusu tra Tu, mpeni ushauri pia kuhusu be forward
 
Kuagiza au kununua kwenye yard hapa Bongo ipi inakuwa nafuu? Je hao Be Forward wa mwenzetu wanaaminika?
 
biashara ya magariya kuagiza kama unauzoefu mtafute anaejua aupe details na ikiwezekana akuagizie/ vinginevyo utapigwa sana
 
Back
Top Bottom