Ushauri kuhusu kununua gari kutoka kampuni ya Be Forward

Kingo

JF-Expert Member
May 12, 2009
845
500
Akujuze nini? Uhakika wa gari kufika, malipo, magari yenyewe au nini? Hii ilishaongelewa humu ila kwa ufupi jamaa wako smart na faster, I'm dealing with them regularly. Beware of fake Beforward!!
 
taurus5270

Member
Dec 31, 2013
80
0
Habari wana forum! Naombeni ushauri pia kwa anayefahamu gharama za utoaji gari bandarini, maana nataka kuagiza na ndio mara yangu ya kwanza, kabla sijaagiza nimeona niombe ushauri pia kama kuna ma agent wanisaidie.
Nataka gari ya specifications zifuatazo

2003 TOYOTA WILL CYPHA

Current FOB price: $809
TOTAL PRICE CIF: $1,992

Specs Ref No BF199095
Location NAGOYA
Mileage 96,829
Model Code UA-NCP70
Registration Year/month 2003/3
Manufacture Year/month 2003/3
Version/Class Chassis # NCP70-0015711
Engine Size 1,290cc
Engine Code - Drive 2wheel drive
Ext. Color Red
Steering Right
Transmission. Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Seats 5 Doors 5
Dimension (L×W×H) 3.69×1.67×1.53
m M3 9.428
Weight 990 kg
 
Attachments

  • tmp_BF199095_1c475c1001876049.jpg
    File size
    79.6 KB
    Views
    1,404

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
6,934
2,000
Kwa ka uzoefu kadogo ongeza kama usd 2000/ kwenye hiyo cif ya usd 1992/ jumla itakuwa usd 3992/ .
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,789
2,000
Mkuu kwa gari hiyo andaa Shs.3,551,617/= kuligomboa bandarini,pia Shs.300,000/= port charges na Shs.250,000/= gharama za wakala atakayekutolea hilo gari. Likishafika uraiani kuna motor vehicle registration fee,kama Shs.220,000/=,Shs.150,000/= road licence na Bima kama Shs.220,000/=,upo????,jipange mwanangu kila kitu kinawezekana.Kwa hiyo jumla kuu itakuwa:(($1992*1630)+3,551,617+300,000+250,000+220,000+150,000+220,000)=8,038,577/=,kila la kheri Mkuu
 
asante kwa maelekezo mazuri mkuu, nimekuelewa zaidi ulipofafanua kuwa port charge ni Shs. 300,000/= Agent ni Shs. 250,000/= pia gharama zingine za bima, registration, road licence. Ningependa kujua hiyo Shs.3,551,617/= ufafanuzi wake pia, au hiyo ni gharama ambayo tra wanatoa in general tu bila uchanganuzi? asante
 
kitundu

Member
May 28, 2011
63
125
Mkuu kwa gari hiyo andaa Shs.3,551,617/= kuligomboa bandarini,pia Shs.300,000/= port charges na Shs.250,000/= gharama za wakala atakayekutolea hilo gari. Likishafika uraiani kuna motor vehicle registration fee,kama Shs.220,000/=,Shs.150,000/= road licence na Bima kama Shs.220,000/=,upo????,jipange mwanangu kila kitu kinawezekana.Kwa hiyo jumla kuu itakuwa:(($1992*1630)+3,551,617+300,000+250,000+220,000+150,000+220,000)=8,038,577/=,kila la kheri Mkuu

Umenena vema. Mie nimeingiza raum ya mwaka 2005. CIF ilikua ni $3,500. TRA Wamechota kama 4.4m, agent fee kilo 3 na mengine uliyoyataja. Jumla mpaka nikapewa mkononi ni 5.5 kwa bongo pekee
 
bob malya

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
242
195
habari wanna jf je umepata wapi jedwali LA mahesabu LA tra ?kama Luna MTU analog naliomba il I nipige hesabu mwenyewe na kama pia kuna kampuni nzuri zaidi ya be forward naombeni jina lake .asanteni .na pia kama kuna kampuni ambayo tayari INA yard dar naombeni jina asanteni
 
Memory

Senior Member
Jun 29, 2011
107
170
Mkuu hapo wote wapo sahihi maana hata breakdown yangu imekaa hivi. hapo sijaweka mapato na jumla inakuja kama (TSH 4,501,751+CIF). Kama unataka agent wa bei ya chini kabisa sema. yupo Dar

1. Customs Duties & Taxes,Registration and other custom charges 3,843,345
2. Number Plate cost 40,000
3. Port charges 439,750/=
4. Agency Fee 200,000 (300,000)
5. Insurance 3rd party 50,000
6. Shipping line charges 130,000
7. Fire Extinguisher 1Kg 25,000
8. Driver from port/ICD 5,000
 
Mkazuzu

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
443
1,000
Habari wana forum! Naombeni ushauri pia kwa anayefahamu gharama za utoaji gari bandarini, maana nataka kuagiza na ndio mara yangu ya kwanza, kabla sijaagiza nimeona niombe ushauri pia kama kuna ma agent wanisaidie.
Nataka gari ya specifications zifuatazo

2003 TOYOTA WILL CYPHA

Current FOB price: $809
TOTAL PRICE CIF: $1,992

Specs Ref No BF199095
Location NAGOYA
Mileage 96,829
Model Code UA-NCP70
Registration Year/month 2003/3
Manufacture Year/month 2003/3
Version/Class Chassis # NCP70-0015711
Engine Size 1,290cc
Engine Code - Drive 2wheel drive
Ext. Color Red
Steering Right
Transmission. Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Seats 5 Doors 5
Dimension (L×W×H) 3.69×1.67×1.53
m M3 9.428
Weight 990 kg

ingia www.gariyangu.com,ingiza details za gari kama make & model,year of manufacture,engine cc,itakuonesha TRA value ya hilo gari,import duties,VAT,kama kuna dumping fee mwisho kabisa utaona total tax,hiyo ndo jumla Ya kodi unayotakiwa kulipa,kwa be forward ni vizuri ukawatumia maagent wao wa be forward Tanzania,cost yao ni 250000.au fika ofisini kwao pale regent estate.ukifanikiwa usisite kunipa lift barabarani,jua kali cku hizi
 
Congo

JF-Expert Member
Mar 13, 2008
1,652
2,000
Mkuu hapo wote wapo sahihi maana hata breakdown yangu imekaa hivi. hapo sijaweka mapato na jumla inakuja kama (TSH 4,501,751+CIF). Kama unataka agent wa bei ya chini kabisa sema. yupo Dar

1. Customs Duties & Taxes,Registration and other custom charges 3,843,345
2. Number Plate cost 40,000
3. Port charges 439,750/=
4. Agency Fee 200,000 (300,000)
5. Insurance 3rd party 50,000
6. Shipping line charges 130,000
7. Fire Extinguisher 1Kg 25,000
8. Driver from port/ICD 5,000

Hauko sahihi.
 
Mkazuzu

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
443
1,000
Umenena vema. Mie nimeingiza raum ya mwaka 2005. CIF ilikua ni $3,500. TRA Wamechota kama 4.4m, agent fee kilo 3 na mengine uliyoyataja. Jumla mpaka nikapewa mkononi ni 5.5 kwa bongo pekee

mbona tra wamekubamiza sana wakati,gari haina dumping fee,maaana ni less than 10 years,kwa mujibu wa calculator yao mpya?
 
Kwayus

Member
Feb 18, 2008
44
70
Karibu sana kwa msaada zaidi unaweza kuingia hapa wwww.dolphincargo.com kupata information zaidi ila kwa hapa nikupe dondoo zitakazoweza kukupa mwanga wa Uhakika na unachotaka kufanya..
Makisio ya Gharama ni kama zifuatazo (Zingatia Rate ya Dola inapanda na Kushuka nimetumia ya $1 kwa tsh 1600)
>>Customs Duties Tsh 3,873,010
>>Port Charges Tsh 186,912
>>Shipping Charges Ths 131,200
>>Plate No Tsh 38,000
>>Agency Fees Tsh 250,000
>>Compressive Insurance Tsh 269,500 (Thamani ya Gari ni Tsh 7,700,000)
>>Makisio ya kuitoa Gari yako Bandarini Itakucost Tsh 4,758,622Habari wana forum! Naombeni ushauri pia kwa anayefahamu gharama za utoaji gari bandarini, maana nataka kuagiza na ndio mara yangu ya kwanza, kabla sijaagiza nimeona niombe ushauri pia kama kuna ma agent wanisaidie.
Nataka gari ya specifications zifuatazo

2003 TOYOTA WILL CYPHA

Current FOB price: $809
TOTAL PRICE CIF: $1,992

Specs Ref No BF199095
Location NAGOYA
Mileage 96,829
Model Code UA-NCP70
Registration Year/month 2003/3
Manufacture Year/month 2003/3
Version/Class Chassis # NCP70-0015711
Engine Size 1,290cc
Engine Code - Drive 2wheel drive
Ext. Color Red
Steering Right
Transmission. Automatic
Fuel Gasoline/Petrol
Seats 5 Doors 5
Dimension (L×W×H) 3.69×1.67×1.53
m M3 9.428
Weight 990 kg
 
taurus5270

Member
Dec 31, 2013
80
0
Umenena vema. Mie nimeingiza raum ya mwaka 2005. CIF ilikua ni $3,500. TRA Wamechota kama 4.4m, agent fee kilo 3 na mengine uliyoyataja. Jumla mpaka nikapewa mkononi ni 5.5 kwa bongo pekee

Duh mbona inshu, kwahiyo wanakuwekea tu kiasi cha kulipa bila maelezo, na wala hawaangalii gari ni ya mwaka gani? Cc nk.
 
taurus5270

Member
Dec 31, 2013
80
0
Mkuu hapo wote wapo sahihi maana hata breakdown yangu imekaa hivi. hapo sijaweka mapato na jumla inakuja kama (TSH 4,501,751+CIF). Kama unataka agent wa bei ya chini kabisa sema. yupo Dar

1. Customs Duties & Taxes,Registration and other custom charges 3,843,345
2. Number Plate cost 40,000
3. Port charges 439,750/=
4. Agency Fee 200,000 (300,000)
5. Insurance 3rd party 50,000
6. Shipping line charges 130,000
7. Fire Extinguisher 1Kg 25,000
8. Driver from port/ICD 5,000

Asante kwa maelekezo mazuri, kwa hiyo kwa gari hiyo ninayotaka kuagiza kwa CIF ya usd 2000 niandae usd zingine kama 3000 kwaajili ya kuclear from port sio, pia agent wa bei rahis sio muhimu maana pesa nyingi yaishia tra, nadhani ni vizur kumlipa agent vizur ili afanye kazi kwa usahihi.
 
taurus5270

Member
Dec 31, 2013
80
0
ingia www.gariyangu.com,ingiza details za gari kama make & model,year of manufacture,engine cc,itakuonesha TRA value ya hilo gari,import duties,VAT,kama kuna dumping fee mwisho kabisa utaona total tax,hiyo ndo jumla Ya kodi unayotakiwa kulipa,kwa be forward ni vizuri ukawatumia maagent wao wa be forward Tanzania,cost yao ni 250000.au fika ofisini kwao pale regent estate.ukifanikiwa usisite kunipa lift barabarani,jua kali cku hizi

Asante sana mkuu, nimeitumia hiyo calculator na imeleta reasonable costs, kumbe inacalculate kwa bei ya gari mpya? Maana naona bei za Amazon Uk tu. Nitaenda ofisini kwao kwa msaada zaidi, hahaha usijali we ukiniona njiani punga mkono nitakuchukua tu... jua la bongo noma
 
CYBERTEQ

JF-Expert Member
Feb 11, 2012
7,358
0
Duh mbona inshu, kwahiyo wanakuwekea tu kiasi cha kulipa bila maelezo, na wala hawaangalii gari ni ya mwaka gani? Cc nk.

Usiwe mvivu kaka, ingia kwenye website ya tra kipo kikokotoo, hata humu nadhani kipo, search tu utakipata wadau walishakileta.
 
steveachi

JF-Expert Member
Nov 7, 2011
6,789
2,000
Umenena vema. Mie nimeingiza raum ya mwaka 2005. CIF ilikua ni $3,500. TRA Wamechota kama 4.4m, agent fee kilo 3 na mengine uliyoyataja. Jumla mpaka nikapewa mkononi ni 5.5 kwa bongo pekee

Mkuu mffumo wetu wa kukokotoa ushuru kwa imports unatufanya wabongo tukose mambo mengi sana mazuri,hawajui huenda kama wangeweka fair watu wengi sana wangeagiza vitu kutoka nje na wangepata fedha nyingi sana kuliko hawa wachache wanaozimudu hizi gharama,hivyo kulikosesha Taifa fedha nyingi sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom