Kson Investment
JF-Expert Member
- Sep 6, 2024
- 327
- 430
Kwann usiende VETA ili ukimaliza ukawa uko vzur kimaisha kumbe chuo chenyewe Kampala aisee nakuonea huruma dogo na hili life la mtaani yaan ss ivi waliograduate miaka minne nyuma wanalia sijui ww baada ya iyo miaka mitatu mbele hali itakuaje fanya maamuzi sahihi bora uende hata kozi za mifugo na kilimo atleast naona wanatoka sn ila izo kozi unazosoma utakuja kurud tena hapa 2027Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private?
Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri
Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
Kwan Kampala shida ni nnKwanza kwanini katika vyuo vyooote ukasome Kampala π€¦ββοΈ
Hiko chuo hakichelew ushamaliza chuo ukaambiwa kozi yako haitambuliki na TCU mara kishafungiwa πππKwan Kampala shida ni nn
PharmacyUfaulu wako ukoje? Maana pale kama matokeo yako ni mazuri wanaangalia hela tu. Na unataka kwenda kozi gani? Kuwa specific nijue nakushauri vipi
Vyuo vya pharmacy ni vichache kwa serikali ni udom na MUHAS na ushindan ni mkubwa kupata ni ngum sana. Ukipata nafasi Kampala upande wa pharmacy soma . Wako vzr na ni moja ya chuo kinachoaminika kwa course ya pharmacy degree.Pharmacy
Sio wewe ulisema uliconfirm kwenda UDOM BSc in PhysicsNimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private?
Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri
Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
Huyu anaonekana n mwehu mana alisema yuko udom mara hii kashapata chuo kampala hata second selectionnbadoSio wewe ulisema uliconfirm kwenda UDOM BSc in Physics
Vipi umesha malizana nao au ?
Mpumbavu kabisa.Huyu anaonekana n mwehu mana alisema yuko udom mara hii kashapata chuo kampala hata second selectionnbado
Kwani chuo cha Kampala kimesajiliwa sasa hivi???Nimepangiwa education pale Kampala lakini nataka kozi ya afya je, nikienda mapema naweza kufanikiwa labda kwa private?
Naomba mtu mwenye uhakika hili ndo aweze kunifafanulia vizuri
Kama vipi nifanye application upya yaan ushauri wa uhakika tuache kujibu kwa mazoea plz plz jamani
Labda amechanganyikiwa mapemaHuyu anaonekana n mwehu mana alisema yuko udom mara hii kashapata chuo kampala hata second selectionnbado
Chuo international hicho wewe Kampala international universityKwanza kwanini katika vyuo vyooote ukasome Kampala [emoji2356]
Sio wewe ulisema uliconfirm kwenda UDOM BSc in Physics
Vipi umesha malizana nao au naona yuko c
Yuko confused huyu bado hajaamua moja. Kuna thread kwel alidai kaconfirm UDOM BSc in physics. Huku bado kashikiria na Kampala π π π..!! Awe makini tu katika kumake conclusion coz Watu watashaur sana ila mwisho wa siku wa kutoa maamzi ni yeye mwenyew.Sio wewe ulisema uliconfirm kwenda UDOM BSc in Physics
Vipi umesha malizana nao au ?
Cha kujiuliza hapo Kampala amepata lini? Ingekuwa amechaguliwa multiple University hapo sawaYuko confused huyu bado hajaamua moja. Kuna thread kwel alidai kaconfirm UDOM BSc in physics. Huku bado kashikiria na Kampala π π π..!! Awe makini tu katika kumake conclusion coz Watu watashaur sana ila mwisho wa siku wa kutoa maamzi ni yeye mwenyew.