God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,062
- Thread starter
-
- #121
unaruhusiwa kabisa ni wewe tuu wala usijali.lakini koz moja kwa vyuo vi2 tofauti naruhusiwa!
NB usinichoke kwa maswali yangu.
Mkuu course yeyote ya afya INA ajira,otherwise nenda ualimu wa kemia na bailojiaBaada ya matokeo kutoka kwa kwel cielewi hata niende kozi ipi sababu yametoka nje ya malengo kabsaa! ushauli tafadhal koz gani yenye sokn kwenye ajira itakayonifaa kutokana na ufaulu wangu wa E-Chem, D-georg & bios D
MATAPELI WAO WANAWEZA KUANZA NA NENO ''BURE", LAKINI BADAE INAGEUKA KUWA KILIO. TRUST ME!!Nikawatapeli vp wakati nawasaidia bure
Soma Mechanical engineering Must,DIT,NIT,St Joseph(St Joseph uwe na pesa nje ya mkopo).Naomba msaada nimesoma PGM nina DCD respectively nataka engineering nisome ipi na wapi
Pls naomba course nyengne km unazijua tufnye kwa geo vs eng hata km haina loan priority cjajipanga nakusomesha vp wale wanaosomea zile za journalism wanakua na kazi tofauti tofauti au ndo wale waandishi wa habar na wanaosoma habar?unakua unafundisha language uliyosoma. pia ukiwa mjanja ukifanya masters fasta unawez kuwa lecture vyuoni na mshaara wake ni mzuri kwa kwel hasa private. ila upige GPA kubwa basi.
wapo malecture kibao wamesoma langage wanajimwaga kinoma na kuna watu wanajua kusaka upenyo wengine ni wakalimani ila kupata hii kazi inabidi uwe mtaftaji
samahani mkuu nadhani nishakupa ufafanuzi kidogo.Mbona hamnijibu nishaurin chuo cha kuomba Math C phyE ChemE point 4 zimefika mnashauri kozi na chuo gani?
tena huyo mtu mwenye division4 ni pcm kama ataipenda hiyo kozi atatusua maana ina sokoMbona hamnijibu nishaurin chuo cha kuomba Math C phyE ChemE point 4 zimefika mnashauri kozi na chuo gani?
Udsm vp cwez nikapata nafas hspoSoma Mechanical engineering Must,DIT,NIT,St Joseph(St Joseph uwe na pesa nje ya mkopo).
forestry ajira zipo. it, ajira zake zna uelewa nazoVp kwa upande wa IT na forest ajira zake?
Vipi kuhusu NIT inahusu nini, inapatkana wap, na soko lake kwenye ajila liko vp?lakin usithbutu kuomba laboratory science and biotechnology(BLS) ya sua. hii ni kwa manufaa yako ya mtaani baada ya chuo. inasumbua kwenye ajira sasaivi
Hiyo course ya maji nzuri na dogo langu pia nataka asome hiyohiyo.tena huyo mtu mwenye division4 ni pcm kama ataipenda hiyo kozi atatusua maana ina soko
sikukatishi tamaa boy me nakwambia ukweli kama rafk yangu.Duh! ndo tunakatishana tamaa kabsaaa! koz gani nyngne itanfaa na yenye soko kwenye ajira?
inferiority complex.sua pagumu
pamoja mkuu tuwape moyo na mwelekeo hawa marafiki zetu wasijekosea kwenye sehemu hii muhimu zaid maishaniHiyo course ya maji nzuri na dogo langu pia nataka asome hiyohiyi.
Nikweli mkuu,maana nikikumbuka enzi zangu duu,but nanshukuru Mungu sikukosea kuchagua Mechanical eng,ingawa ilikuwa ni final selection.pamoja mkuu tuwape moyo na mwelekeo hawa marafiki zetu wasijekosea kwenye sehemu hii muhimu zaid maishani
rudia kusoma tena ndugu yangumi bado sjaelewa vzr tafadhari
Mkuu niukweli Sua nipagumu na Hugo sio wa kwanza kusema hivoinferiority complex.
pamoja mkuu, ni vyema sana kufanya maamuzi sahihi na sio kubahatishwa kwenye mambo kama haya.Nikweli mkuu,maana nikikumbuka enzi zangu duu,but nanshukuru Mungu sikukosea kuchagua Mechanical eng,ingawa ilikuwa ni final selection.