Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Hapana

Usifanye hvyo mkuu. Maisha hayako hvyo hata siku moja! Badili mtazamo kuhusu hili wazo lako!
nishauri ndugu yangu
sasa nifanyeje
je nikichagua koz ambayo siihitaji lakini ipo ndani ya hcho chuo naweza kuchange kozi
kwa sababu naona sielewi mkuu
 
Ni kweli hiyo link imewekwa hapo kwa siku kadhaa sasa, lakini swali ni je ulishawahi kudowload ikakubali ?
hapana ndio nakuambia wanaifanyia marekebisho, kama wanavyofanyaga hii tumeiona miaka ya nyuma
 
Medical labalatory inapatkanga na kwenye vyuo vya serikari? na nieleze kdogo kuhusu IT upatkanaj wake, indadili na nini na soko lake katka ajira!
 
nishauri ndugu yangu
sasa nifanyeje
je nikichagua koz ambayo siihitaji lakini ipo ndani ya hcho chuo naweza kuchange kozi
kwa sababu naona sielewi mkuu
we kama unavigezo fanya kitu unachokipenda kutoka moyoni apply moja kwa moja. mambo ya kubadilisha kozi ya na process nyingi sio kazi ndogo na unaweza usifanikiwe
 
Medical labalatory inapatkanga na kwenye vyuo vya serikari? na nieleze kdogo kuhusu IT upatkanaj wake, indadili na nini na soko lake katka ajira!
yaa labaratory kadhaa zipo muhasi, IT ni information technology, mambo ya kutengeneza application kibao unazoziona app store n.k, graphics design na websit creation ya ina mambo mengi for more info andika google IT carrier utaona application zake
 
we kama unavigezo fanya kitu unachokipenda kutoka moyoni apply moja kwa moja. mambo ya kubadilisha kozi ya na process nyingi sio kazi ndogo na unaweza usifanikiwe
nashukuru kwa ushirikiano wako
 
medical lab inapatkana hata kwenye vyuo vya serikali? na kuhusu na IT nieleze kwa mapana inahusu na nini na inatolewa chuo gani na soko lake liko vp kwenye ajira! hv viwili vimenivutia zaidi!
 
Jmani naombeni msaada dogo yupo kijijin hata cm anataka aombe chuo lakin kwa matokeo aliopata hajui aombe chuo gani na kozi ipi atakayoweza kusoma, yeye alisoma pcm amepata math C chem E na phy E naomben msaada asije akasoma vitu visivyoeleweka. Ila yeye alitaka lab technical na kozi ambayo inahusu kusindika mazao.
 
[QUOTE="big gift, post: 16897078, member: ok nashukuru
 
Wadau nimepata eng D Kisw D Geo S GS F(GKL) mwaka huu form6, O/ level kisw C Geo C eng C islamic religion B Bio D Arabic lng D civics D, nimesoma guidebook ya mwaka jana nikaiona logistics and transport management inataka two Olevel passes in any subject nikajishauru mwaka huu ikitoka ivo niombe NIT je kwa masomo haya na pass hizi ntachaguliwa na vipi kuhusu ushindan wa course hii naweza kupata msaada pls?
 
make sure that u r vt certain of of wht u r saying bcoz nowadays theft is rampantly increasing!! so, mark my words,!!!
 
sawa nashukuru mkuu
kwani naskia koz moja unaomba kwa chuo kimoja
hapo ndipo nilipo kosa wapi pa kuanzia
ndio huwezi omba kozi moja mara mbili kwa chuo kimoja hiyo haifai. unaweza omba kozi mbili kwa vyuo viwili tuu na usizidishe.
pia unaruhusiwa kuomba sii chini ya vyuo vitatu na pia si zaidi ya vyuo vitano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ