Ushauri kuhusu ku-apply vyuo vikuu 2016/2017

Hyo competition ni kubwa alaf EGM na PCM ndo huwa wanapewa kipaumbele mana wanesoma Adv math

Kwa nin usijaribu Land valuation au Agricultural and Natural Resources Economics and Business ya UDSM
Asante kiongozi kwa ushaur wako ntahushughulikia lakin udsm cjaiona hiyo faculty ya resource .... Na je hiyo land val...and management ajira zake kwa siku za uson zipoje na how about real estate mkuu msaada naitaji
 
Hyo competition ni kubwa alaf EGM na PCM ndo huwa wanapewa kipaumbele mana wanesoma Adv math

Kwa nin usijaribu Land valuation au Agricultural and Natural Resources Economics and Business ya UDSM
Agricultural and natural resourse economics ipo chuo gan hiyo faculty kiongozi ??
 
Wakuu kwa matokeo haya naomba ushauri nikasome kipi HKL 2 ya 11
Education
Human resource
Utawala
Na nichague chuo kipi
Msaada tafadhari
 
Mkuu asante sana nimeiona hiyo course UDSM kwenye college agricultural and fisheries technology ss je Mimi HGE naweza kuisoma??
Kuna rafiki yangu alisoma HGE na anasoma hiyo course UD,yeye alikuwa na points 9
 
acheki vyuo vya private kama imtu, kairuki, archibishop james, st francis na bugando kwa umbali
Wadau nackia usemi mitaani kua madam Ndalichako anachkua 3 mwisho ya 13 kuna ukweli wowote kwenye hili
 
Unaweza kupata,lakini ukishaweka tu kitu kinachoitwa education basi tegemea hiyo hiyo.Hata ukiweka last choice kuna lazima wakuchague education,kama unahitaji hiyo ya kwanza basi ondoa hiyo education.
ok asante umenifumbua macho
 
Wakuu kwa matokeo haya naomba ushauri nikasome kipi HKL 2 ya 11
Education
Human resource
Utawala
Na nichague chuo kipi
Msaada tafadhari
Grade ya kila somo ni muhimu
 
Kasema mwisho ni Div 2 ya 12 kam una 13 tafuta diploma cz kasema unatakiwa uciwe na e kwenye masomo yako yote...hapo klmjee
 
Biology D
History D
Kiswail D
English D
Hesab F
Geography F
Civics F =na dividion 4point 31 matokeo yangu ya kidato cha nne, naomba ushaur pia naomba ufafanuz wa koz ya kupata sifa ya kusoma stashahada diploma in primary (INTA level 4)
 
Naomba ushaur apo niombe koz ip na chuo kip
 
Biology D
History D
Kiswail D
English D
Hesab F
Geography F
Civics F =na dividion 4point 31 matokeo yangu ya kidato cha nne, naomba ushaur pia naomba ufafanuz wa koz ya kupata sifa ya kusoma stashahada diploma in primary (INTA level 4)
Reseat uwezo unao
 
we unapenda nini? jaribu ila duu naona ushindani uppo ila ukikosa una apply second application
Mi napenda architecture na..surveying nimechek vigezo ninavyo ila sio vya juu so ni bahat nasibu tu
 
Kasema mwisho ni Div 2 ya 12 kam una 13 tafuta diploma cz kasema unatakiwa uciwe na e kwenye masomo yako yote...hapo klmjee
wewe kweli akili zako ndogo unaongea tu vitu ambavyo havina ukweli
 
kule kuna ushinda ila nakushauri hiyo kampala itoe weka bugando nina imani huwezi kukosa kimoja wapo, na possibility kubwa utapata imtu
Imtu, st francis, udom na suza mwaka huu hawadahili. Tcu mbele kwa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…