Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Nimeona alitaka kukutunuku TIGO hebu tuelezee kidogo alianza anzaje mpaka akataka upige 0713
 
Kwanza naona kama ana utoto mwingi hana akili ya maisha kabisa ni mwanamke ambae mipango yake mingi anajali sana kuvaa kuliko maendeleo

Na kashawahi niambia ana wanaume wengi ila nahisi mimi kaniona wa kumuoa hivyo ataachana na hao wengine

Yaan hivyo kila kitu ntakachomuambia yeye ni ndio tu hana changamoto kabisa
Huyu hafai hata kulumangia, mwache maisha yampige kwanza.
 
Naona ulisema kuwaa ulitaka kutest jicho lake na gafla ukasita. Sasa wew ni fala Sana'a mwamamke anataka umle jicho bado unafikiria kumuoa
 
huwezi amini mkuu nakumbuka majuzi tu alikuwa anataka kunipa tigo wakati tunafanya mapenzi......mimi nikapotezea yaan imenipa maswali mengi sana kuhusu huyu mwanamke
Kama sababu ni hii basi kimbia sana.
 
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa.

kila mtu alikuwa anarusha ndoano kadili anavyoweza akija huyu anakuja mwingine lakini mimi ndio nikashinda mbio hizo nikamchukua mrembo huyo. kiasi haikuwa siri tena wote wakafahamu Pearce ndio mshindi

Kweli baada ya kukaa nae muda huyu mdada na yeye akaanza nipenda kwa dhati.

Alikuja ntembelea napoishi hatukupanga tufanye mapenzi lakini tukajikuta nimefanya nae na sa hv kiasi kwamba juzi alikuja kulala kwangu kabisa

Sema baada ya kukaa karibu nae sana nmekuta ana mapungufu mengi ambayo mimi siwezi kuyavumilia kama ikitokea tutaoana na mengi ni yametokana na urembo wake kiasi kila siku lazima wanaume warushe ndoano zao

Majuzi nmeongea nae kuhusu ilo akaniambia nimbadilishie namba ya simu ili haepukane na usumbufu wa watu.

Sababu kaashaamini mimi ndie nitakaemuoa

Nataka kumuacha kusema kweli lakini sijui naanzia wapi wakuu naombeni ushauri

Eti katika mbio hizo nikashinda mimi!

Watu mnajidanganya sana!

Wawezakuta wamepiga wote wewe ukaschiwa jumba bovu ubebe!

Tena usije ukajifanya unawatolea lugha mbovu,wanakuchora tu!

Acha utoto!
 
Uzinzi ni dhambi
Kama Ulimuahidi ndoa hesabu laana
 
Tanga ndo kuna nini jirani
Huyu wa Tatu naskia kuhusu hizo Mambo Tanga Wanawake wa huko mmoja nilishawahi mdadisi akasema inshort huwa wanafundishwaga kwenye mafunzo gani sijui mwanaume akitaka zote mpe tu mali yake.😄😄
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom