Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Kutongozwa ni kawaida tu ila aisiwe mwepesi kutoa no ya simu kuepuka mengi.
 
huwezi amini mkuu nakumbuka majuzi tu alikuwa anataka kunipa tigo wakati tunafanya mapenzi......mimi nikapotezea yaan imenipa maswali mengi sana kuhusu huyu mwanamke
Duu kimbia fasta.
 
Mpige mimba huyo fastaa,,, uone kama kuna boya ataleta shobo
Watu wanatongoza mwanamke mjamzito. Wanaweka na hati ya nyumba juu.

Sala na maombi husaidia kumfanya mtu asikie aibu au woga kumsaliti mwenzie, ingawa sio uhakika wa kuzuwia kuchepuka 100%.
 
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa.

kila mtu alikuwa anarusha ndoano kadili anavyoweza akija huyu anakuja mwingine lakini mimi ndio nikashinda mbio hizo nikamchukua mrembo huyo. kiasi haikuwa siri tena wote wakafahamu Pearce ndio mshindi

Kweli baada ya kukaa nae muda huyu mdada na yeye akaanza nipenda kwa dhati.

Alikuja ntembelea napoishi hatukupanga tufanye mapenzi lakini tukajikuta nimefanya nae na sa hv kiasi kwamba juzi alikuja kulala kwangu kabisa

Sema baada ya kukaa karibu nae sana nmekuta ana mapungufu mengi ambayo mimi siwezi kuyavumilia kama ikitokea tutaoana na mengi ni yametokana na urembo wake kiasi kila siku lazima wanaume warushe ndoano zao

Majuzi nmeongea nae kuhusu ilo akaniambia nimbadilishie namba ya simu ili haepukane na usumbufu wa watu.

Sababu kaashaamini mimi ndie nitakaemuoa

Nataka kumuacha kusema kweli lakini sijui naanzia wapi wakuu naombeni ushauri
Kama ofisini wote mlimfukuzia ukashinda wewe sasa unadhani wanaume wengine hawamuoni na kumtongoza km mlivyofanya ofisini kwenu .
 
Kwanza naona kama ana utoto mwingi hana akili ya maisha kabisa ni mwanamke ambae mipango yake mingi anajali sana kuvaa kuliko maendeleo

Na kashawahi niambia ana wanaume wengi ila nahisi mimi kaniona wa kumuoa hivyo ataachana na hao wengine

Yaan hivyo kila kitu ntakachomuambia yeye ni ndio tu hana changamoto kabisa
Hizo kweli ni changamoto.
Sema hiyo ya mwisho inahitaji mjadala, ukimpata wa kukupa changamoto unamuona hakuheshimu katawaliwa na harakati za haki za wanawake na usawa, mara isomi na ujuaji!!

Hakuna mtu perfect aisee. Jilipue au baki na uoga wa kuoa ujilie vyako lakini ukipatikana usilie.
 
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa.

kila mtu alikuwa anarusha ndoano kadili anavyoweza akija huyu anakuja mwingine lakini mimi ndio nikashinda mbio hizo nikamchukua mrembo huyo. kiasi haikuwa siri tena wote wakafahamu Pearce ndio mshindi

Kweli baada ya kukaa nae muda huyu mdada na yeye akaanza nipenda kwa dhati.

Alikuja ntembelea napoishi hatukupanga tufanye mapenzi lakini tukajikuta nimefanya nae na sa hv kiasi kwamba juzi alikuja kulala kwangu kabisa

Sema baada ya kukaa karibu nae sana nmekuta ana mapungufu mengi ambayo mimi siwezi kuyavumilia kama ikitokea tutaoana na mengi ni yametokana na urembo wake kiasi kila siku lazima wanaume warushe ndoano zao

Majuzi nmeongea nae kuhusu ilo akaniambia nimbadilishie namba ya simu ili haepukane na usumbufu wa watu.

Sababu kaashaamini mimi ndie nitakaemuoa

Nataka kumuacha kusema kweli lakini sijui naanzia wapi wakuu naombeni ushauri
Orodhosha mapungufu mengi naomba yaanzie 7 kama kweli unafanya hip hop.
 
Kwanza naona kama ana utoto mwingi hana akili ya maisha kabisa ni mwanamke ambae mipango yake mingi anajali sana kuvaa kuliko maendeleo

Na kashawahi niambia ana wanaume wengi ila nahisi mimi kaniona wa kumuoa hivyo ataachana na hao wengine

Yaan hivyo kila kitu ntakachomuambia yeye ni ndio tu hana changamoto kabisa
wewe kupitia iyo comment nimejua ni punguwan waheed!
 
huwezi amini mkuu nakumbuka majuzi tu alikuwa anataka kunipa tigo wakati tunafanya mapenzi......mimi nikapotezea yaan imenipa maswali mengi sana kuhusu huyu mwanamke
si umwambie hautakim
 
huwezi amini mkuu nakumbuka majuzi tu alikuwa anataka kunipa tigo wakati tunafanya mapenzi......mimi nikapotezea yaan imenipa maswali mengi sana kuhusu huyu mwanamke
Duh duh kula tigo nenda zako ameshatoa uyoo ndyo maana anataka kukupa
 
...pole mzee mwenzangu,kiukweli mapungufu kla mtu anayo ila kwenye swala apo la ndoa naona umekwenda speed ya 5G nafikiri hukutenga ata muda wa kufanya karesearch kuchunguza vitabidi vya ndani..

mana wanke wapo vizur ktk kupretend mambo has wakati wa uchumba au urafiki ila ukiwaingia deep sana utaona ya firauni..
 
Yaani umeshindwa changamoto ndogo ndogo kama hizo, ndoani utaenda kufanya nini sasa?

Yaani hata ukimuoa hutazuia watu kamtongoza brother. Hizo ni moja ya changamoto za kutongoza au kuwa na mke mfanyakazi, mbaya zaidi mko ofisi moja! Jiandae kukosana na baadhi ya marafiki zako.

Kaa chini mtafakari myamalize, mbadilishie namba na kama una nia naye ya dhati mpige mimba na muoane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom