Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Ushauri kuhusu huyu mwanamke

Pearce

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
732
Reaction score
1,746
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa.

kila mtu alikuwa anarusha ndoano kadili anavyoweza akija huyu anakuja mwingine lakini mimi ndio nikashinda mbio hizo nikamchukua mrembo huyo. kiasi haikuwa siri tena wote wakafahamu Pearce ndio mshindi

Kweli baada ya kukaa nae muda huyu mdada na yeye akaanza nipenda kwa dhati.

Alikuja ntembelea napoishi hatukupanga tufanye mapenzi lakini tukajikuta nimefanya nae na sa hv kiasi kwamba juzi alikuja kulala kwangu kabisa

Sema baada ya kukaa karibu nae sana nmekuta ana mapungufu mengi ambayo mimi siwezi kuyavumilia kama ikitokea tutaoana na mengi ni yametokana na urembo wake kiasi kila siku lazima wanaume warushe ndoano zao

Majuzi nmeongea nae kuhusu ilo akaniambia nimbadilishie namba ya simu ili haepukane na usumbufu wa watu.

Sababu kaashaamini mimi ndie nitakaemuoa

Nataka kumuacha kusema kweli lakini sijui naanzia wapi wakuu naombeni ushauri
 
Muombe asiwe na moyo mwepesi wa kuacha njia
 
Huna moyo boss wangu tunakaa na wanawake wazuri wanakonyezwa mbele yetu roho haziruki tukienda home tunapiga mashine nyani hatambi na care ndogo ndogo atajiongeza mwenyewe.
Unataka acha kisa anatongozwa?? Huwezi zuia asitongizwe wewe simamia nafasi yako vizuri.
 
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa.

kila mtu alikuwa anarusha ndoano kadili anavyoweza akija huyu anakuja mwingine lakini mimi ndio nikashinda mbio hizo nikamchukua mrembo huyo. kiasi haikuwa siri tena wote wakafahamu Pearce ndio mshindi

Kweli baada ya kukaa nae muda huyu mdada na yeye akaanza nipenda kwa dhati.

Alikuja ntembelea napoishi hatukupanga tufanye mapenzi lakini tukajikuta nimefanya nae na sa hv kiasi kwamba juzi alikuja kulala kwangu kabisa

Sema baada ya kukaa karibu nae sana nmekuta ana mapungufu mengi ambayo mimi siwezi kuyavumilia kama ikitokea tutaoana na mengi ni yametokana na urembo wake kiasi kila siku lazima wanaume warushe ndoano zao

Majuzi nmeongea nae kuhusu ilo akaniambia nimbadilishie namba ya simu ili haepukane na usumbufu wa watu.

Sababu kaashaamini mimi ndie nitakaemuoa

Nataka kumuacha kusema kweli lakini sijui naanzia wapi wakuu naombeni ushauri
Una akili kweli wewe? Ukiendekeza huu ujinga jiandae kuwa zoba
 
Ww pia unamapungufu

Ungeyasema hayo mapungufu ingependeza zaidi
Kwanza naona kama ana utoto mwingi hana akili ya maisha kabisa ni mwanamke ambae mipango yake mingi anajali sana kuvaa kuliko maendeleo

Na kashawahi niambia ana wanaume wengi ila nahisi mimi kaniona wa kumuoa hivyo ataachana na hao wengine

Yaan hivyo kila kitu ntakachomuambia yeye ni ndio tu hana changamoto kabisa
 
We dogo unazingua sana,yani kisa ji hiko tu anatongozwa sana??
 
Kwanza naona kama ana utoto mwingi hana akili ya maisha kabisa ni mwanamke ambae mipango yake mingi anajali sana kuvaa kuliko maendeleo

Na kashawahi niambia ana wanaume wengi ila nahisi mimi kaniona wa kumuoa hivyo ataachana na hao wengine

Yaan hivyo kila kitu ntakachomuambia yeye ni ndio tu hana changamoto kabisa
Huyo mwanamke ana mtoto?
 
huwezi amini mkuu nakumbuka majuzi tu alikuwa anataka kunipa tigo wakati tunafanya mapenzi......mimi nikapotezea yaan imenipa maswali mengi sana kuhusu huyu mwanamke
Katokea mkoa gani huyo mwanamke
 
Habari zenu wanajukwaa hiki kisa ni kweli. hapa kazini alikuja staff mpya msichana mmoja mrembo sana. kiasi siku ya kwanza namuona tu ikaanza spidi ya kumfukuzia mimi na staff wenzangu hapa.

kila mtu alikuwa anarusha ndoano kadili anavyoweza akija huyu anakuja mwingine lakini mimi ndio nikashinda mbio hizo nikamchukua mrembo huyo. kiasi haikuwa siri tena wote wakafahamu Pearce ndio mshindi

Kweli baada ya kukaa nae muda huyu mdada na yeye akaanza nipenda kwa dhati.

Alikuja ntembelea napoishi hatukupanga tufanye mapenzi lakini tukajikuta nimefanya nae na sa hv kiasi kwamba juzi alikuja kulala kwangu kabisa

Sema baada ya kukaa karibu nae sana nmekuta ana mapungufu mengi ambayo mimi siwezi kuyavumilia kama ikitokea tutaoana na mengi ni yametokana na urembo wake kiasi kila siku lazima wanaume warushe ndoano zao

Majuzi nmeongea nae kuhusu ilo akaniambia nimbadilishie namba ya simu ili haepukane na usumbufu wa watu.

Sababu kaashaamini mimi ndie nitakaemuoa

Nataka kumuacha kusema kweli lakini sijui naanzia wapi wakuu naombeni ushauri
weka picha yake tumuone, alafu uachege ushamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom