co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,569
- 2,584
Hello wadau, poleni sana na majukumu ya kulijenga taifa.
Ipo hivi mimi nina mdogo wangu mwaka jana alipata mchongo kwenye taasisi moja hivi na wanamlipa vizuri sana like 4m kwa mwezi na tena bado ni mdogo sana ni miaka 26 tu.
Juzi kaja home nikawa namuulizia habari za kazi akawa anipa stories zake kuhusiana na kazi yake ndo kaniambia anauwezo wa kukopa hadi milion 100 kwa udhamini wa ofisi yao.
Je, ni mshauri tu akope au aiache maana anaweza kukopa kwa kufanya vitu vya msingi mwisho wa siku ikawa majanga