Mynicmancuso
Member
- Dec 5, 2011
- 5
- 2
Inatakiwa kwa safari ndefu iwe 12km per Litre. Mjini stop-go nyingi na full AC: 7km per Litre. Ikila zaidi ya hapo ni tatizo. Anza kwa kucheki plugs, na plug wire kama cheche za ignition zinapita katikati no missfiringsKm 450 kwa lita 60 hio gari itakuwa na tatizo